mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anonymous77

    Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
  2. JanguKamaJangu

    China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

    China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan. China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
  3. Narumu kwetu

    Jeshi la NATO kuanza mazoezi makali ya kihistoria

    Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa Nato yanaanza baadaye hii leo. Mazungumzo hayo yamepewa jina la siri la Hedgehog. Mzoezi hayo yatafanyika katika taifa la Estonia kwa kipindi cha wiki mbili zijazo na yatawahusisha wanajeshi 15,000 kutoka nchi kumi...
  4. Twilumba

    Nini kilibadili mfumo wangu wa maisha na kuanza kufanya mazoezi (Physical fitness)....

    Salamu wakuu, Nimeamua kuanzisha huu uzi kwa lengo la kuhamasishana kufanya mazoezi ambayo kimsingi ni suala mtambuka na jambo linalotakiwa kufanywa na kila mmoja wetu hasa kwa wale ambao kazi zao ni za ofisi kwa maana ya kwamba hazihusishi movement ambazo zinafanya mwili kuwa Active. Mazoezi...
  5. masai dada

    Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

    Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo. By the way nahitaji mwanamke anaepiga mazoezi tupeane changamoto na fursa katika hili swala la kupungua...
  6. lee Vladimir cleef

    Leo tarehe 16 Machi 2022 NATO waanza mazoezi makali ya kijeshi

    Nimeiona hii habari Al Jazeera. Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla. Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na...
  7. Vhagar

    Kumbe kufanya mazoezi ni raha hivi

    Helloo JF!! Hili sikulijua kabla au nililichukulia poa. Ni week ya tatu tangu nianze ratiba ya ufanyaji mazoezi kila siku tatu za juma saa 11 alfajiri. Hii ni baada ya siku moja kulazimika kukimbia kidogo umbali wa kama mita 180 hivi kuuwahi usafiri. Nikajikuta natweta mno kama moyo uchomoke...
  8. sky soldier

    Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
  9. L

    Mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu watoto wajitokeza kufanya mazoezi

    Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha. Kutokana na michezo ya majira ya baridi kukaribishwa nchini China, watoto wengi zaidi wanashiriki kwenye mchezo wa...
  10. lee Vladimir cleef

    Inadaiwa baadhi ya majeshi ya Urusi yaliyokuwa Belarusi kwa ajili ya mazoezi ya Kijeshi yaanza kurudi, baada ya mazoezi kuisha

    Urusi na mahodari Sana wa mchezo unaotumia akila Sana wa CHESS. Wamefanikiwa kuzima propaganda za west kuwa Urusi ingeweza kuivamia Ukraine ndani ya mda mfupi Sana. Urusi tayari imefanikiwa kupeleka ujumbe kwa west kwamba kwa ajili ya kulinda usalama wake iko tayari kwa lolote like,kuharibu...
  11. Suley2019

    Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi ya siku kumi na Belarus

    Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa kusini na Ukraine. Marekani imetaja mazoezi hayo - ambayo yanaaminika kuwa ndiyo makubwa zaidi ya...
  12. GENTAMYCINE

    Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

    Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani. Chanzo: marathonioverstz Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe...
  13. K

    Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuimba

    Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam. Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji. Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...
  14. Makirita Amani

    Fanya Mambo Haya Mawili Kuongeza Miaka 20 Kwenye Maisha Yako

    Rafiki yangu mpendwa, Vipi kama leo nitakuambia kuna mambo mawili unayoweza kufanya kila siku na ukaongezea miaka 20 kwenye maisha yako? Yaani kama ilikuwa uishi miaka 60, basi kwa kufanya kitu hicho utaweza kuishi miaka 80. Na kama ilikuwa uishi miaka 80 basi utaishi miaka zaidi ya 100. Na...
  15. S

    Hivi hakuna surgery ya kupunguza upana? Maana hata mazoezi ya kegel yamedunda

    Mazoezi ya kegel yamefanywa lakini bado kitu ni kipana tu. Jogging imedunda pia. Hivi hakunaga surgery ya kupunguza upana wa hii kitu? N.B. Wale maisha choka mnaomiliki simu za Tecno na vigari mitumba vya mikopo hamjawahi hata kuweka dental braces kaeni pembeni ktk hili. Hapa naongea na mboga...
  16. C

    Endeleeni na mazoezi ya wazi Bunju/Boko, endeleeni na uzungu wenu

    Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late...
  17. M

    Je, ni kweli kuwa anayefanya Mazoezi ya kutembea tu kwa Miguu Tegeta hadi Mwenge anaimarika Kiafya kuliko anayekimbia?

    Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano. Tafadhali wale Wakimbiaji na Watembea kwa Miguu bila kuwasahau na wale...
  18. mshale21

    Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging) na mwanahabari Harlod Shemsanga wa MGAWE TV. "Walikuwa na viashiria venye kupelekea uvunjifu wa amani" "Nimepokea...
  19. M

    Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    My Take: Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira. Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  20. Gelion Kayombo

    SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
Back
Top Bottom