Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
Habari Jf Doctor,
Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital.
Alikuwa akifanya mazoezi kwa siku 3 per week hapo njia panda ya kwa mzee wa Upako kuna kidispensary cha...
Wakati nikikua mchezo wa kuruka kwa upondo na ule wa kuruka kawaida sambamba na mchezo wa kurusha mkuki na vitu vizito ilikuwa inafanyika na watu walikuwa wanafanya vizuri.
Ukizingatia kwamba Wakenya tayari wamejitambulisha kwa mchezo wa riadha; sisi hapa kwetu Tanzania bado hatujakuwa na...
Habari ya Jumapili wanajukwaa pendwa kabisa,
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naenda Straight to the topic. Mimi kijana ambaye napenda sana mazoezi hasa ya body workout.
Yaani ni mazoezi ya pushups, pelvic floor muscles, squash, na jumping jacks hasa pushups napenda sana lakini sipendi na...
Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu ya Simba huwa tunapewa 'Matokeo' haraka sana. Kwa mujibu wa Mtangazaji wa Clouds FM Shaffih Dauda...
Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda?
Mfano mwanaume ambaye ameoa alafu amekaa miaka miwili bila kupump vs mwanaume anayekwenda jim kila siku
Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile asubuhi mapema naifungua na jioni mpaka saa tano usiku, ila sijui Bei zake na Kama zinaweza patikana...
Kiafya, haitakiwi kuvaa barakoa ‘mask’ wakati wa kufanya mazoezi kwa sababu zinapunguza uwezo wa kupumua vizuri. Katika kufanya mazoezi, katika hali ya kawaida huwa na ugumu wa kuhema hivyo kwa kuvaa barakoa ugumu unaongezeka.
Vilevile, jasho linaweza kulowesha barakoa haraka na kuifanya isifae...
Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha.
Huu mtiti unaonekana sio mdogo.
Wanapatikana Maga Beach & Mwalimu anaitwa Shija.
Angalia kuanza dakika ya 14 hadi ya 24
Klabu za Ligi hiyo zimepiga kura kwa siri kukubali timu kufanya mazoezi yatakayojumuisha wachezaji kugusana ikiwa ni hatua nyingine ya kukaribia kuendelea na Ligi hiyo.
Wachezaji walirejea mazoezini wiki iliyopita lakini mazoezi hayo yamekuwa yakijumuisha vikundi vidogo vya wachezaji na bila...
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
COVID-19-...
Simple logic!
Yaani kitendo cha kufanya mazoezi na kutoa jasho ni kujifukiza.
Msio complicate sana. Ishu kubwa ni 'mvuke' ili 'utoe jasho la kutosha'.
Kimbia utoe jasho, hapo unajifukiza. Rusharusha miguu weeeeeee ili utoe jasho la kutosha'. Unajifukiza.
Piga miti wewe kwa pump paap! paaap...
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Tedros Ghebreyesus ametaja vitu vitano ili kukabiliana na janga hatari la ugonjwa wa Covid-19.
Tedros alisema janga hili la Corona limeichanganya dunia na kufanya maisha ya kila mtu kubadilika na kwamba ili kukabiliana na tatizo hilo ni lazima kuwa...
Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio.
Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia...
Leo nikiwa kanisani nilikaa na bibi mmoja, mrembo ametengeneza nywele vizuri, kucha zina rangi na rangi ya mdomo. Bibi huyu alikuwa na fimbo ya kukunja kama kiti aliyokuwa anatembelea.
Kuna wakati alihitaji msaada kidogo lakini alipochoka alikunjua kiti cha fimbo na kukaa. Alivutiwa na moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.