mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    #COVID19 Ufanyaji wa mazoezi unausaidia mwili kutonyong'onyezwa na homa kali COVID-19 kwa urahisi

    Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu. Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana vyema na maradhi nyemelezi. Mtu anayefanya mazoezi akipata virusi vya COVID-19 mwili wake unachelewa...
  2. J

    RC Makalla: Sijaugua maleria wala magonjwa nyemelezi kwa miaka 30 sasa kwa sababu nafanya mazoezi, tahadhari ni muhimu!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema yeye binafsi hajawahi kuumwa ugonjwa wa maleria au maradhi nyemelezi kwa sababu anafanya mazoezi kila siku. Makalla amesema ili kupambana na Corona ni vema tukachukua tahadhari zote ikiwemo kula vizuri na kuchanja. Source: ITV habari
  3. Sky Eclat

    Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Mukoko agomea mazoezi Yanga,baada ya ofa yake kukataliwa

    Hizi ni habari za uhakika,kama hutaki acha sikulazimishi
  5. J

    SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  6. 4

    #COVID19 Covid-19 ipo, tuhamasishane kila mtaa kuanza mazoezi ya kutembea angalau kilomita 1 kila Jumamosi

    Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona, Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana tukianza jmosi ya week ijayo. Mazoezi ya kutembea ni mepesi mno hata mzee anaweza kufanya. Kwa...
  7. Mzalendo_Mwandamizi

    Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  8. MK254

    Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

    Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone. Brahmos cruise missile INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27...
  9. Strictly Syrup

    Maisha mapya baada ya kuvunjika kwa mahusiano

    Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
  10. Sky Eclat

    Mazoezi ni siri kubwa ya urembo na tambo zuri

    Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu. Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

    Kama kichwa kinavyo jieleza Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo. Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha. Ahsanteni
  12. HumbleBoy98

    Mazoezi ya miguu (lower body workout) hasa vigimbi

    Mambo vipi wakuu? Natumaini mko poa. Wakuu mimi ni mdau wa mazoezi ya kujenga mwili japo Sina hela ya kwenda Gym huwa najipigia push up zangu mwenyewe tu, hata hivyo sipo interested Saana na mazoezi ya kunyanyua vitu vizito. Ninachohitaji sasahivi ni mazoezi ya miguu (lower body workout) hasa...
  13. B

    Kigwangalla; Kutoka Uwaziri Hadi mtaalamu wa mazoezi

    Nachukua muda mwingi kuangalia maisha ya ndugu zetu wanapopewa vyeo na wanapovuliwa madaraka. Kigwangala alikuwa moto sana na harakati nyingi akiwa Waziri, Leo ameondolewa nilitegemea aendelee japo kupost positive things watu waige watekeleze lakini amejikita kwenye push up. Hii maana yake...
  14. muzi

    Anza mazoezi usisubiri matatizo ya kupumua

    Watu wengi wanasubiri waugue ndo waanze mazoezi, hiyo ni kosa kubwa sana. Kwanza ukishaugua mwili utakosa na kuishiwa na nguvu, viungo vitauma yaani kila sehemu ya mwili utakuwa hoi. Dawa ni moja tu kinga ni bora kuliko tiba, wale wenye matatizo ya pressure, kisukari, pumu, stroke, n.k...
  15. Regent

    Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)

    Muongozo mzima wa kujaza mwili kwa muda mfupi kwa wale ambao wembamba sanaa mpaka wanaona kero wanahitaji kunenepa mwili kidogo (si kunenepa kwa kujaza mafuta na nyama uzembe) bali kuwa na mwili ulio maintain mtu akikuona anaona una mabadiliko. Vitu vitatu vya kuzingatia 1)Mazoezi 2)Mlo...
  16. Cannabis

    Ukiugua maradhi ya mfumo wa upumuaji zingatia haya

    Watu wanaougua maradhi ya mfumo wa upumuaji ikiwemo nimonia, wameshauriwa kufuata taratibu za namna ya upumuaji na staili za kulala kama sehemu ya tiba mazoezi ili kupona haraka. Mazoezi hayo yanayohusisha namna ya kukaa, kulala na kupumua ambayo yametajwa kusaidia uondoshaji wa maji na...
  17. U

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

    Mazoezi ni muhimu Mazoezi ni Afya Mhesh Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo Februari 7, 2021 ameshiriki mazoezi pamoja na Mumewe Wakili Gwajima.
  18. Analogia Malenga

    Dkt. Kijazi awataka watumishi kuwa na ratiba ya mazoezi

    Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi amewataka watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kujenga mshikamano na upendo katika maeneo yao ya kazi. Dkt. Kijazi ametoa wito huo wakati wa bonanza la...
  19. Fuqin

    Kwa wale waliofanya mazoezi ya Kegel na wakapona naombeni ushauri

    Mambo vipi ndugu? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimeanza mazoezi ya kegel kutokana na tatizo langu la kuwahi kufika kileleni.Kwa sasa hivi nina mwezi tangu nianze na nimeonai dalili Kwa mbali kuwa ninaanza kupona ila nikisex nawahi kufika kileleni. Nina imani na zoezi hili...
  20. Shadida Salum

    Taifa Stars yaendelea na mazoezi kuelekea CHAN

    Kikosi cha Timu ya taifa "Taifa Stars" kimeendelea na mazoezi leo katika uwanja wa Gymkhana kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo na mashindano ya CHAN yatakayofanyika Cameroon. Mashindano ya CHAN awali ilikuwa yafanyike kuanzia tarehe 4 hadi 25...
Back
Top Bottom