Watu 6 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari binafsi, ambalo limewagonga wananchi waliokuwa wakifanya mazoezi kandokando ya barabara eneo la Sabasaba Ilemela Mwanza leo Julai 22, 2023 majira ya asubuhi.
=====
Taarifa za awali ni kwamba Watu 6 wamefariki...
NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
Habari zenu,
Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa ajili ya watu wapenda mazoezi wote.
Hii kwetu sisi watanzania sio kawaida na ni kama tunadharau hili...
Mimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu.
Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri.
Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani...
Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home.
Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha.
Yanga Bingwa CAFCCC
Nilikuwa na dalili za ugonjwa wa Moyo na Ini ambapo dalili hizo zilinianza nikiwa na miaka 42 japo ninaamini haikuwa kwa kiwango kikubwa. Kadiri siku na miaka ilivyoongezeka ndivyo hali hiyo ilivyozidi kuongezeka hadi kufikia kupatwa na mabadiliko mengine ambayo nilikuwa sina hasa la kupunguwa...
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad...
Za usiku huuu wanangu
Jioni ya leo nimefukia msomi wa maana sana
Hii ni kutokana na njjaa kali niliyokuwa nayo
Sasa after menu nikawa najisikia kutapatapa na kama mwili mzito
Inshort nilijidikia kama kuna unnecessary energy in me
Basi kuona hivyo nikasema isiwe shida nikamvuta mama G wangu...
Baada ya kuniletea zawadi ya vifaa vya michezo,jezi, training shoes nk.
Kwenye maongezi akafunguka kuwa performance yangu imeshuka, eti nachoka mapema nianze mazoezi.
Na kila siku atakuwa ananiamsha Morning mapema,nikakimbie.
Anajiona kama kocha wa stars vile eti performance yangu imeshuka...
Hassan Dilunga amerejea tena Simba Sc mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.
Picha zimemuonesha HD akiwa mazoezini huku akitupia jezi mpya za mazoezi za Simba SC.
Hii itakuwa habari njema kwa Wana Simba na Taifa Stars.
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa
1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.
2...
Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
Ndugu zangu, binfasi natambua na kuheshimu kabisa hili suala la kufanya Mazoezi ya Utayari kwa sababu lina manufaa lakini bado napata shida sababu za kutangaza matukio hayo kwenye Vyombo vya Habari tena kwa kutaja idadi ya waathirika, aina ya Chombo kilichopata ajali na eneo.
Hivi hawa watu...
Kuna Jogging Club moja mahala fulani Mwenyekiti na Katibu wanatuhumiana kwa Mmoja kumzidi Mwenzake idadi ya Wanawake aliyolala nao.
Na katika Jogging Club hiyo hiyo Wanawake wakikimbia muda Wote Wanakuwa Wananuniana kwani wapo ambao Wanawaibia Wenzao Waume na Wapenzi Wao.
Na katika Jogging...
Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani.
Aidha, utafiti huo umebaini kuwa mazoezi hayo pia yana faida kifiziki ambapo waliohusika katika sehemu ya utafiti huo ambao...
Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23.
Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China
Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na China mwezi Februari, huku Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, akianza...
Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto.
Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.