Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki.
Dullah Mbabe ni kati...
Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Bondia Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita...
Hio ndio asili ya mwanadamu.
Mipaka imeundwa kwa mapigano.
Mamlaka zimeundwa kwa nguvu.
Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita.
Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge.
Ila wewe umebaki tu kusema "haina noma, malipo ni hapa hapa duniani"
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka...
Ibenge Yupo amejenga jina tayari, mbabe Wa mbinu. Anaogopwa!
Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue.
Fadru Davis. Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa...
Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo.
Si tu katika michezo...
Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa Seneta na Mfalme wa kisiasa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.
Msemaji wa familia Wilfred...
Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe
Basi inaendelea kama ifuatavyo;
Baada ya Mfalme Sedekia kuuawa, sasa Yehoyakimi akachukua nafasi hiyo ya kuiongoza Yuda (Israel). Hapa kuna kitu...
Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi?
Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
Wakuu, long live to you all.
Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.
Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto...
Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza...
Hii Game hua niliipenda Sanaa, sio unakua na kajitu kanyonge, masaa hayapiti kanalia.
Mda mwingine inabidi uwe na mtu anayekutingisha kidogo, hata thamani yake utaiona.
Mimi nilikuaga na Mchezo, demu tukipishana kidogo tuu na mute, yaani piga ua simtafuti mpaka awe mpole mwenyewe, hili...
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.
Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda.
Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha
Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani...