Herehoa!
Leo nimeiangalia hii mechi ya hawa mabondia waliozoea kutambiana, nimefurahi kuona sijapoteza usingizi wangu bure.
Pambano lilikuwa zuri Sana. Waandaaaji walijipanga kufanikisha hili, hivyo nawapongeza Sana.
Lakini Kwa vile Mimi nami naishi Mkoa wa Morogoro Kwa kweli najisikia furaha...
Au mnasemaje wadau?
====
9 Sep 2020
Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi.
Kauli hii aliitoa wiki mbili zilizopita ameirudia tena siku ya jumatano alipokuwa anafanya mahojiano na moja ya kituo...
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .
Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa...
Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi.
===
TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI
Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana.
Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama...
Katika muendelezo wa wababe katika viumbe leo hii tunawakutanisha wafalme wakali wawili kutoka barani Afrika. Je, ni nani ana advantages kubwa kumshinda mwenzake?
The king of the jungle or the dangerous Gollila nani atashinda pambano hili?
Simba na Sokwe/gollila karibu wote wanakuwa na uzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.