mbabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba Yanga kesho hakuna mbabe

    Utabiri wangu kuelekea mchezo wa kesho FT 0-0
  2. Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

    Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
  3. Mfahamu Peter the Great, Mtawala mbabe aliyeibadilisha Russia

    Nawasalimu katika jina la Kibepari Peter the Great, ambaye jina lake kamili ni Peter I wa Urusi, alizaliwa tarehe 9 Juni 1672 (sawa na tarehe 30 Mei 1672 katika kalenda ya Juliasi) huko Moscow, Urusi na aliongoza urusi toka mwaka 1682-1721 kama Tsar wa urusi na kisha toka 1721 hadi 1725 kama...
  4. Mbabe wa vita Zelensky atembelea majeshi ya mstari wa mbele Donetsk

    Mbabe wa vita kwa karne yetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao. =========================== Zelenskyy visits troops on Donetsk front line Zelenskyy has visited...
  5. Rekodi ya mechi 10 za Simba Vs Yanga zilizopita, sare zimetawala, hakuna mbabe

    Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6. 29/04/2018: Simba 1-0 Yanga 30/09/2018: Simba 0-0 Yanga 16/02/2019: Yanga 0-1 Simba 04/01/2020: Simba 2-2 Yanga 08/03/2020: Yanga 1-0 Simba...
  6. Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  7. David Mwaibula, aliyebuni mistari ya daladala Dar es salaam yupo wapi?

    Wadau, Najua mtakuwa mnamkumbuka sana huyu "mheshimiwa" kwa style aliyokuja nayo ya kupiga ufito wa rangi tofauti tofauti kwa kila daladala za jijini ili iwe rahisi kwa abiria kutambua gari husika linapoishia kitu ambacho mikoa mingine ilikuja ikaiga. Pongezi zake! Lakini ilikuaje akapoteza...
  8. Rwanda na DRC mbabe anajulikana, busara zitumike

    WanaJf, Hi! Nchi ya Rwanda na DRC ni majirani zetu kabisa na ni washirika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hata hivyo matukio ya usimikaji na ufadhili wa kundi la M23 unaofanywa na nchi ya Rwanda hatuwezi kuubariki katu sababu madhara kwa raia ni MENGI sana. Sasa hata iwe vipi iwapo nchi hizi...
  9. Dar es Salaam inataka kiongozi mbabe na mafia hasa siyo huyo mswahili

    Makala haiwezi Dar es Salaam na kamwe hatoiweza kwa sababu ni mswahili mno! Dar es Salaam ni Jiji lihitajilo Kiongozi mafia hasa kwa sababu ya uwingi wa wakazi wake kuwa ma mafia. Makundi kama Panya Road si ya kuyapigia ngojera kwenye mic kisiasa bali ili yakomeshwe inapasa umafia ndaniye...
  10. Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma! Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa...
  11. Case closed, mbabe wa dunia kashajulikana

    Russia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga. Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni...
  12. K

    Mbabe Putin kuitembelea Iran July 19

    Katika hali ya kuihakikishia Dunia kuwa mambo ni shwari nyumbani Moscow,rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo Vladimir Putin anatarajiwa kuitembele nchi ya Iran tarehe july 19 Kwa sasa Kremlin ishaweka wazi kuwa haijisumbui wala kujikomba Ulaya kwa akina Macron bali watakwenda na...
  13. Mike Tyson Vs. Bruce Lee: Nani ni mbabe?

    Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts, alikuwa na speed na uwezo wa kupiga ngumi 9 kwa sekunde 1. Tyson ana kilo 100 na Bruce alikuwa na kilo...
  14. S

    Ramzan Kadyrov, mbabe wa kivita wa Chechnya, kaiambia Poland bora ichukue silaha zake Ukraine, kwani Poland ndiyo inayofuata baada ya Ukraine

    Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha waombe msamaha rasmi kwa walichomfanyia balozi wa Russia nchini Poland. Wasidhani tukio lile...
  15. VERIFIED COMMENT: Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia

    Twende SAwa na fact Juu. Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia. Tunakiri kuwa Kapombe amekuwa tunu ya taifa na ana uwezo mkubwa mno kama beki wa kulia. Ila huyu Djuma Shabani ni daraja lingine kabisa na uwezo wake ni funzo kwa mabeki wengi katika ligi kuu Tanzania. CHUKUA HII...
  16. Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

    Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge. Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
  17. FUNDISHO: Kila mtu ana mbabe wake

    asili yake ni ubabe
  18. Mbabe wako anapokuwa kwenye interview pannel, imeshakutokea?

    Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say. Yamesha kukuta?
  19. Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  20. Deontay Wilder ni sawa na Dulla Mbabe aliechangamka!!

    Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu. BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine tena.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…