Angalia hili lidubwana hapa chini;
Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...