Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995 nikiwa naishi mbeya Sokomatola,. Nilikuwa nafanya biashara za maduka ya rejareja, sasa unajua mambo ya uswahilini kuzoeana na vitoto ambavyo vinakusaidia kuvituma vikakununulie bidhaa
Basi siku hiyo nilikuwa nimetoka kuzindua duka langu jipya, mida kama ya saa moja...
Septemba 04, 2025 Mahakama ya Wilaya Kibiti Mkoa wa Pwani imemuhukumu Ally Sylvester Adobe (17) mkazi wa Kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Kibiti kwa kosa la kubaka Mwanafunzi miaka (16).
Mahakama imeeleza kuwa mtuhumiwa alifanya kitendo hicho Machi 18, 2025 huko Kijiji cha Jaribu Mpakani...
Angalia hili lidubwana hapa chini;
Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.