Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k
Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo...