Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni.
Mawasiliano yangu ni
0746685756
Nita update kila mara vinapoingia.
Tunafanya delivery na mkoani tunatuma.
Karibuni sana
Habari wakuu poleni na majukumu najua humu ndani kunawajuzi wengi wa music system mbalimbali au ambao washatumia binafsi Sina uzoefu Sana na mambo ya mzikii ila nimejitahid kutafutatafuta mitandaoni nimeona km hz system hapo chini zawez kufaa naomba ushauri went Kati ya hizi sony home theater dz...
Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto.
Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo;
Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara), Anuani za Posta na Makazi za Wananchi ambao na Wateja wa Makampuni ya biashara
Barua pepe za watu...
Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio Tanzania Dar es Salaam.
Zifuatazo ni hadithi ntakazozileta wiki hii, wiki ya uhasishaji wa usomaji wa...
Salaam Wakuu,
Thread hii iwe ndo thread kuu itakayosheheni Nukuu za Amri Jeshi na rais wa JMT Samia Suluhu. Usisite kuweke nukuu yake ukikutana nayo.
“Kwa wale ambao wana mashaka Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais...
Toyota HARRIER [D.J.M]
Year : 2006
Capacity : 2360cc
Mileage : 89,000kms
Price : 17.5M
Location: Mbezi Beach
Call : 0717436363
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.