Habari wanajamvi.
Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali?
Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa...
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye ini.
Mafuta pia hujilimbikiza kwenye seli za misuli. Ambapo sasa kunaanzishwa ukinzani dhidi ya...
Covid-19 ni janga ambalo lilitikisa ulimwengu kuanzia mwaka 2019. Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzia homa ya kawaida hadi homa kali kama vile Homa Kali ya Upumuaji ya Mashariki ya Kati (MERS) na Homa Kali ya Mfumo wa Upumuaji (SARS)...
Wanajamii, kwa mwenye uhitaji wa hizi huduma zifuatazo, anicheki Whatsapp mawasiliano 0676245401:
1) Data Analysis
2) Kupika data
3) Kutengeneza Logo
4) Kutoa ban whatsapp
5) Translation of articles/books/magazines(kutafsiri vitabu,majarida n.k) eng-kisw na kisw-eng
6) Kutengeneza card za...
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa...
Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania.
Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
Utangulizi
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wananchi wenyewe, zina jukumu la kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora...
Wakuu mwema.
Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza.
Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua).
Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika kwa ufanisi, uwazi na...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam
kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519}
List...
Wengi huwa tunapenda kuanzisha familia ikiwa lengo kuu ni kupeana faraja tu, bila kufikiria ili familia iwe na amani na utulivu uchumi unatakiwa uwe umetulia.
Si vema kwa mtu mwenye familia kuwa na chanzo kimoja cha mapato, mfano mshahara; mshahara siku zote huwa hautoshi na huwa unapatikana...
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya TZS millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi.
TAKUKURU inaendelea na uchunguzi dhidi ya watuhumiwa kutoka ofisi ya uhasibu ili wafikishwe mahakamani...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.