mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Weka picha za mifugo yenye magonjwa mbalimbali upate ushauri wa tiba na kinga kwa wataalam

    Habari wanajamvi. Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali? Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa...
  2. Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
  3. Mafanikio na kuanguka kwa shule mbalimbali za sekondari halmashashauri ya Bunda MjinI

    Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
  4. Wafanyakazi TX,wa makampuni,migodini na miradi mbalimbali

    Karibuni tujikumbushie mambo mbalimbali toka Enzi za KAJIMA KONOIKE, CMC ITALSTRADE, KAKOLA NYAMONGO SOGEA SATOM BALFOBIT, CG JENSEN, WADE ADAMS, BUHEMBA KAHAMA MINING CHICCO MOOLMAN BROTHRS AARSLEFF BAM INTERNATIONAL STRABAG, KAPIKO, MWADUI WILIAMSON(ya zamani) STERLING, JR GGM(ya zamani)...
  5. Wale tuliopigwa fix mbalimbali zamani wakati bado tupo zama za giza bila internet tukumbushane fix mbalimbali

    Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
  6. Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  7. Tumekuwekea hapa namna magonjwa mbalimbali yanavyo ibuka kitaalamu kutokana na Obesity

    Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye ini. Mafuta pia hujilimbikiza kwenye seli za misuli. Ambapo sasa kunaanzishwa ukinzani dhidi ya...
  8. NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Covid-19 na chanjo zake

    Covid-19 ni janga ambalo lilitikisa ulimwengu kuanzia mwaka 2019. Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzia homa ya kawaida hadi homa kali kama vile Homa Kali ya Upumuaji ya Mashariki ya Kati (MERS) na Homa Kali ya Mfumo wa Upumuaji (SARS)...
  9. Nafanya analysis ya research data, translation ya articles (Eng-Sw; Sw-Eng), kutengeneza card mbalimbali

    Wanajamii, kwa mwenye uhitaji wa hizi huduma zifuatazo, anicheki Whatsapp mawasiliano 0676245401: 1) Data Analysis 2) Kupika data 3) Kutengeneza Logo 4) Kutoa ban whatsapp 5) Translation of articles/books/magazines(kutafsiri vitabu,majarida n.k) eng-kisw na kisw-eng 6) Kutengeneza card za...
  10. Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo. Naanza na Sabuni ya Mbuni…
  11. M

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  12. KWELI Dan Friedkin ana hifadhi ya ardhi kubwa Tanzania

    Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania. Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
  13. Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
  14. SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora huleta mabadiliko thabiti katika nyanja mbalimbali

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wananchi wenyewe, zina jukumu la kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora...
  15. D

    Kazi kwenye miradi mbalimbali huwa wanapataje?

    Wakuu mwema. Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza. Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua). Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna...
  16. SoC03 Mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali nchini Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika kwa ufanisi, uwazi na...
  17. Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

    Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519} List...
  18. Familia na vyanzo mbalimbali vya mapato

    Wengi huwa tunapenda kuanzisha familia ikiwa lengo kuu ni kupeana faraja tu, bila kufikiria ili familia iwe na amani na utulivu uchumi unatakiwa uwe umetulia. Si vema kwa mtu mwenye familia kuwa na chanzo kimoja cha mapato, mfano mshahara; mshahara siku zote huwa hautoshi na huwa unapatikana...
  19. Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara yatuhumiwa kuiba zaidi ya Milioni 600 za wanufaika mbalimbali

    Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya TZS millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi. TAKUKURU inaendelea na uchunguzi dhidi ya watuhumiwa kutoka ofisi ya uhasibu ili wafikishwe mahakamani...
  20. Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…