Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya.
Kuhama kutoka klabu kubwa...
Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden.
Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio la ubakaji lilitokea kwenye hoteli iitwayo Bank , Oktoba 10.
Vyombo vya...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid.
Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
Kylian Mbappé’s nose. 😫🇫🇷
Get well soon!
---
Kylian Mbappe was forced off during France's opening Euro 2024 match against Austria after suffering a nasty injury to his nose while attempting a header late on.
Mbappe went up for a header late in the second half but only succeeded in accidentally...
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka 7 toka pale alipojiunga nao 2018 akitokea Monaco kwa uhamisho wa euro milioni 180 ambapo hadi...
Mchezaji wa zamani wa PSG, Kylian Mbappe siku ya Mei 16, 2024 huko Paris nchini Ufaransa, alizindua sanamu lake katika Nyumba ya Makumbusho ya Madame Tussauds, na kuzua gumzo kutokana na kufanana kwa kiasi kikubwa na mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa.
Wakati wa hafla hiyo iliyohudhuriwa...
Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome.
Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo mashabiki wa Simba na Yanga walikuwa wanabishana nani mkali kati ya Athuman Abdallah China wa Yanga...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na Video ikimuonesha mchezaji wa PSG Kylian Mbappe akicheza mpira na Roboti. Kuna ukweli kuhusu video hii?
Tunaombeni ufafanuzi.
Video iliyosambaa mtandaoni
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m
Co-Chairmen (Owners): Joel na Avram...
club
english
everton
kuangalia
kuhama
man
man united
man utd
manchester united
mbappe
mchezaji
mechi
miaka
miaka 24
msimu
package
premier
premier league
psg
rasmi
thread
umri
united
utd
Wale wote mliosema Rashford yupo kwenye levo za Mbappe njooni tena mumjadili jamaa yenu.
Rashford amekuwa na fomu mbaya sana na kubwa zaidi ni sehemu ya anguko la ten Hag.
Mje mumtetee jamaa yenu.
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo.
Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi.
Ninawashangaa mno mnavyosajili.
Ukisikia madaraka ya kulevya kweli bwana mdogo kayaonesha.
Nimeangalia short clip videp dogo aki block mipira mazoezini isimfikie Messi kwa kuipiga nje, kila anapotaka kupasiwa Messi anawahi anapiga mbali.
Kiukweli Messi alijisikia vibaya sana, au dogo aliumia sana kufungwa final na Argenting...
Kylian Mbappe ndiye mshambuliaji aliyechaguliwa kuwa mbadala wa Hugo Lloris ambaye alistaafu kuchezea timu ya taifa Januari 2023, mwezi mmoja baada ya Ufaransa kupoteza Kombe la Dunia kwa Argentina.
Mbappe ataanza kazi yake ya unahodha katika kikosi kwa mara ya kwanza itakuwa Ijumaa, Machi 24...
Nimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee asiyekuwa na timu.
Hawa madogo wote ni mafowadi wanaocheza pembeni na hata katikati inapobidi, wako...
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
Wabongo washamba sana.
Ibakie tuwashabiki na Mpira umeisha nilikuwa upande wa mfaransa wewe ajentina usiingize masuala ya utumwani Kwa kuwa kama alioutumwani Messi na mbappe ndgu yako sio Messi.
Unaliona lijitu linafanana kabisa copyright na Upemakano yaani utadhani baba na mama mmoja Ile Toka...
#FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64.
Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.