Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za wizi na uharibifu wa miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 17, 2023, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa, amesema watuhumiwa hao wamekamatwa...