mbaroni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    Polisi saba mbaroni wakituhumiwa kulamba mabilioni ya pesa

    Dunia haiishi maajabu aiseeee. "Geshi" letu linachekesha sana kama sio kusikitisha. Anyway habari kamili hii hapa. --- Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiwa na mashtaka ya wizi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh1.16 bilioni...
  2. Ferruccio Lamborghini

    Ludewa: Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumbaka nguruwe

    Mkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  3. Analogia Malenga

    Simiyu: Mwalimu Mbaroni kwa kufanya udanganyifu mtihani wa la nne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Shimbale Gaudensia Anyango (45) kwa tuhuma za kufanya udanganyifu wa mitihani ya Darasa la 4 kwa kuwachukua wanafunzi wa darasa 5 na 6 kwa ajili ya kuwafanyia mitihani wanafunzi wenzao 23 ambao ni watoro "Niwatake...
  4. Suley2019

    Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  5. beth

    Dar: Kijana mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Julius Mzava (26) Mkazi wa eneo la usalama Chang’ombe Wilaya ya Temeke kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Magdalena Peter (56) kwa kumchoma kisu sehemu ya mwili wake. Tukio hili limetokea tarehe 08/10/2021...
  6. Kanungila Karim

    Dereva bajaji mbaroni kwa kubeba wanafunzi 17

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu wa shule ya msingi na dereva bajaji kwa tuhuma za kuvunja sheria za usalama barabarani na kusafirisha wanafunzi 17 kwa wakati mmoja kwa kutumia bajaji. Wanafunzi hao ni kutoka shule za awali tofauti tofauti ambao...
  7. D

    Mbeya: Kisa cha watoto kutoroshwa, baadhi ya wazazi wakiri kuridhia watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Siku mbili baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kuwarejesha watoto 11, waliokuwa wanadaiwa kuwa walitoroshwa na kuuzwa kwa wafugaji wilayani Mbarali, ili watumike kuchunga mifugo, baadhi ya wazazi wa watoto hao wameibuka na kudai waliridhia watoto wao kwenda kufanya kazi hiyo. ===== Septemba...
  8. Nuraty J

    Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22). Mtuhumiwa huyo, inaelezwa kuwa alitekeleza mauaji hayo kwa kumkata kwa panga marehemu...
  9. Analogia Malenga

    Dodoma: Wanne mbaroni kwa kumuua ndugu yao na kumkata viungo

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
  10. Miss Zomboko

    Mbeya: Watatu wakamatwa kwa kufanya Biashara ya kusafirisha Watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwasafirisha watoto wenye umri wa miaka 10 na kuwapeleka kutumikishwa kazi majumbani, kilimo na ufugaji katika maeneo mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema leo Septemba 7, 2021 wakati akizungumza...
  11. Papaa Mobimba

    Viongozi wa Kamati ya Maji Geita watiwa mbaroni kwa ubadhilifu wa pesa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita. Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
  12. Suley2019

    Ofisa mifugo mbaroni kumkashifu Naibu Waziri Katambi

    OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira. Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
  13. Analogia Malenga

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kushirikiana na Sabaya mbaroni

    Watu wawili wanaodaiwa kushirikiana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kufanya matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwamo makosa yajinai wanashikiliwa na polisi mkoani Kilimanjaro. Kaimu Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Kilimanjaro, Arterio Kawonga...
  14. Suley2019

    Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  15. F

    Tajiri Panone mbaroni Moshi kwa kuuza oil feki

    Mfanyabiashara maarufu nchini aliyewekeza kwenye biashara ya kuuuza mafuta, Patrick Ngiloi ametiwa mbaroni na jehsi la polisi nchini akihusishwa na biashara chafu ya kuza oli feki. Ngiloi ambaye amejenga vituo vya mafuta kupitia kampuni yake ya PANONE vilivyoota kama uyoga kila kona sanjari na...
Back
Top Bottom