mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

    Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  2. Suala la Pauline Gekul: Mahakama iko huru, lakini kesi zilizo mbele yake sio mali yake, wenye kesi wanapoziondoa kesi hizo, hawaingilii uhuru wake

    Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga anayelishwa chakula, mahakama "inalishwa" kesi zinazoletwa ndipo ifanye kazi. Hata kama wananchi...
  3. D

    Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  4. Hii ndio sababu watu wengi wakitaka kufa hugombana wasife

    Mwanadamu hukuumbwa ili ufe. Uliumbwa ili uishi milele. Mtu anapokuwa anakufa kabla hajakata moto huwa kuna pambano la kukataa kukubali kuwa anakufa. Hata wale waliomahututi hata kama kwa maumbile haonekani akifurukuta asife, huwa anapinga kabisa tukio hilo. Kwa nini? Mhubiri 3:11 Kila kitu...
  5. Serikali itoke mbele iseme imefilisika

    Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building). Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za...
  6. Kujianika mbele ya hadhara kisa unaongea na simu ni uzwanzwa!

    Nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar! Njiani jamaa anaongea na simu mwanzo mwisho na kujionyesha anafanyakazi gani na matumizi ya hela na miradi aliyonayo na mahusiano na blahblah nyingi! Gari zima lilijua yeye ni nani hadi ikawa kero na kutuboa! Mpaka jamaa mmoja kamtolea mbovu ya kwamba...
  7. Jumanne aanze Mzambia mbele ya Adui 'Why Dad' na Mkongo awe mtizama Sinema kwa Nje kwani hana Msaada na Tija

    Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
  8. Propaganda iliyoanzishwa ya kuchafua wanaume wenye maumbile madogo inatafuna sana vijana kisaikolojia, vijana wengi wahusika wanakosa confidence

    Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo hata akiwa na size ndogo anaweza kuwa player hatari sana bila aibu yoyote, Ghafla likazuka hili...
  9. S

    Kujikunakuna sehemu nyeti mbele za watu sio uungwana

    Kuna tabia hii inaboa sana, mpo mbele ya umati halafu kajamaa kanatokeza na kujikuna sehemu zile nyeti. Tena ukimchunguza unamkuta hana habari kabisa, mpaka ahisi kuna wadau wanamshangaa ndio utaona kama na yeye anashangaa!
  10. Wazo: Serekali yetu ya mkoa wa Dar, Posta mbele ya NBC bank panafaa kwa utalii wa kula pweza

    Asalaam aleykum, Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!.... Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
  11. CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  12. Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

    Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu. Lissu amezungumza...
  13. Jinsi ya kustaafu miaka 5 mbele toka leo

    Achana na salamu kwan ni chakula? Sasa wakuu, plan hii inainvolve mtu kustaafu miaka mitano mbele kuanzia siku ya leo, may be inaweza kuwa 6 ila sio mbaya, Plan yenyewe ni hivi, hakikisha unasave 2.2M kila mwezi kwa miaka 5 toka leo katika mfuko wa Bond fund UTT ambao kwa wastani huongezeka...
  14. Nyakati ngumu mbele yetu ila tusikubali kurudi nyuma kamwe!

    Wasalaamu wadau wa JF, Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele. Ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo! Cha muhimu na muhimu zaidi ni kuendelea kujitolea kwani tunayo...
  15. J

    Katikakatika ya Umeme na Uhaba wa mafuta yamtia kikaangoni Majaliwa mbele ya Wajumbe wa NEC, ashusha rungu kwa Mawaziri husika

    === Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si mara kwa mara na changamoto ya bei ya mazao ya kilimo. Pia, katika kikao cha NEC kilichofanyika...
  16. Mbele ya Safari Makonda yatamkuta kama ya Lowassa, Usaliti ni Ngao ya watu wa Pwani

    Kuona mbali, karibu, nyuma, mbele, kati, historia, yajayo , ya jana, Leo na kesho. Haya yote ni uwezo wa mwenyezi Mungu aliyoweka ndani yetu. Iwavyo vyovyote vile Makonda aweke utayari ndani ya akili yake kutokuwa na matamanio ya vitu vikubwa na asiamini katika ahadi yoyote atakayoambiwa...
  17. Ukatili wa Kijinsia kwa watoto Kanisani: Tupinge kuita watoto wachawi mbele ya kanisa na kuwarekodi kwente tv na redio

    Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi. Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana. Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
  18. H

    Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza. Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete...
  19. R

    Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Wakuu kwema? Kama tunavyojua watoto walivyo, hawana aibu, wanafanya kile wanajisikia kwa wakati huo, japokuwa kuna wengine wananya kukukomesha. Wanajua mama/baba huwa hataki kuninunulia kitu fulani mkifika supermarket anapiga kelele duka zima wanasikia analilia mdoli😂😂. Ama unajua mtoto wako...
  20. Nashuhudia mbele yenu, hii ndio hela yangu ya mwisho kuhonga

    Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa. N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…