mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. ITR

    Yanga songeni mbele acheni ushamba

    Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa. Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiwa maskini, huna miradi lazima uwe kondoo mbele ya bosi wako. Hakikisha una miradi usiwe kondoo

    Hello! Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa. Hao ndio hufokewa kila mda...
  3. Melki Wamatukio

    Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

    Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
  4. mwanamwana

    Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
  5. G

    Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
  6. Pdidy

    Kwanini madereva wengi hupona ajalini?

    Nawazaga hili swali najikuta NACHEKA. M ni mpenzi wa habari za Kenya sana. Kenya IMEKUTWA na matukio ya ajali nyingi sana na huuwa watu 10+ Hivi MAJUZI KUNA ajali tatu zimetokea zote ukiangalia gari zimeharobika KABISA. Unachoanbiwa MADEREVA wote wamekimbia. Mbili zimwgongana na.malori...
  7. S

    Bila nidhamu taifa haliwezi kwenda mbele

    Watanzania tuna mazingira mazuri sana ya kupiga hatua kwenda mbele zaidi ya hapa tulipo. Lakini tatizo letu ni nidhamu katika maisha yetu, kila kitu kinafanyika kiholela holela hakuna njia thabiti za kuhakikisha sheria na taratibu zote zinafuatwa. Barabarani bodaboda hawana nidhamu, na hakuna...
  8. P

    Pre GE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  9. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga. Dhambi ipo kwa mtu ambaye...
  10. Q

    Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.

    Police Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.
  11. Mjanja M1

    Toleo la GTA6 kusogezwa mbele hadi mwaka 2026

    Kama wewe ni Mpenzi wa kucheza GTA na umekuwa ukiisubiria kwa hamu GTAVI ningependa kukwambia kuwa huenda muda wa kutolewa GTA6 ukasogezwa mbele hadi mwaka 2026. Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali sababu inayotajwa kupelekea GTA6 kusogezwa mbele ni matatizo ya Production. ✍️Mjanja M1
  12. K

    Pre GE2025 Msipoleta Katiba Mpya, mtatuletea Utawala wa Jeshi huko mbele

    Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao. Serikali isikojirudi na kutengeneza idara imara za kidemokrasia itatoa mwanya huko mbele kama zile nchi tunazoona wananchi wameona...
  13. G

    Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao. Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost...
  14. Kaka yake shetani

    Watanzania wengi hatuna mitazamo ya kuona mbali

    Mimi najua mtu ukiashapata pesa huwezi kushaurika wala kukubaliana na wenzako uliowapita, hili ni kwa asilimia kubwa ya matajiri wanaozidi kuongoza gurudumu. Kisa kilicho nileta hapa kuna jamaa alisikia tetesi ile nyumba inauzwa muda wowote ila kutojulikana siku, yeye akachukua maamuzi ya...
  15. LA7

    Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
  16. Makonde plateu

    Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  17. Nelson Jacob Kagame

    Yanga, siwaoni humu watani

    Yanga kunani? Siwaoni humu watani. Mpo kimyaaaaa 🤣🤣 Watani, nasikia feisal anarudi jangwani 🤣🤣🤣 WAZEE WA MABLICHI. 🤣🤣🤣🤣
  18. tpaul

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni. Nimebaini hawa watu si waganga wala...
  19. George Charles007

    Nini kitatokea iwapo uko mbele ya hakimu aliyekushuhudia ukivunja sheria, ila ushahidi aliyoletewa kwa ajili ya kukuhukumu unaonesha hauna hatia?

    Mfano hakimu kakushuhudia ukiiba, alafu hakimu huyo huyo ndiye anayekuhukumu akapelekewa ushahidi unaosema huku husika na tukio hilo. Nini kitatokea wana JF?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa vijana: Hivi ndivyo nilivyofanya kuondoa aibu kufanya kazi duni ili nipate kipato

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni. Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi. Nimelelewa na kukuzwa kwenye familia ya Wasomi wa kati, wote walikuwa wafanyakazi wa serikalini. Mtazamo wao kuhusu maisha ni kusoma...
Back
Top Bottom