Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia unaona Ni kiongozi na Ni Rais anayeishi mbele ya wakati tuliopo,Jambo ambalo ni la bahati Sana kwetu...