mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Pixel3a

    Siioni Yanga ya enzi za Nyerere ikijirudia kwenye Ligi ya Mabingwa CAF kwa miaka 50 mbele

    Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana! Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 . Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba...
  2. Chizi Maarifa

    Baba alitaka kuniua Mbele ya Walimu na Wanafunzi wenzangu. Kama tu si Kuzuiwa...

    Nilikuwa nasoma kisa cha mtu flani humu nikakumbuka story ambayo nlishaielezea twitter kwa wadau wa huko. Miaka hiyo nlikuwa nasoma shule flani ya Sekondary Mkoa fulani hapa Tanzania. Unajua tena shule za Boarding na ujana nikiwa Kidato cha sita nikapata msala baada ya kukamatwa Namkamua binti...
  3. JanguKamaJangu

    "Job Ndugai achafua hali ya hewa" Ukurasa wa mbele wa Tanzania Daima Oktoba 14, 2022

  4. Zanzibar-ASP

    HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika. Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu. Kiapo cha Upadri...
  5. Nyamwage

    Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

    Baba mchungaji songa mbele tu wala usirudi nyuma
  6. M

    Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

    Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu! Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
  7. Komeo Lachuma

    Twende mbele na kurudi nyuma, ilikuaje na wapi Karia alitamka maneno haya? Yananikwaza sana

    Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje? Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau...
  8. Z

    Nchi kama Tanzania zinazoamni katika ushirikina haziwezi kusonga mbele kiuchumi na kimaendeleo

    Nimesoma hii habari kuwa Tanzania ni nchi ya pili katika kuamini ushirikina nikashtuka sana. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba hata mikoa inayoaminika kwa ushirikina haina maendeleo kivile mikoa hiyo ni pamoja na Kigoma, Sumbawanga nk!! Yaani mtu anaamnini katika mizimu kwamba inaweza...
  9. Mjomba Fujo

    Kinachotukwamisha kama taifa kusonga mbele

    Kwa Miongo kadhaa Tanzania kama nchi inayojitegemea, inapiga hatua kwa mwendo wa kobe. Kuna mambo ukiangalia ni aibu sana, yani mpaka leo hii tunahangaika na mashimo ya choo, madawati, na vitu vingine ambavyo ni aibu hata kuvitaja. Kama Taifa naona tuna changamoto hizi kubwa: 1. Ufisadi 2...
  10. BARD AI

    Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
  11. Lyrics Master

    Mbele kwa mbele- dj Yusuf ft. Hard Mard

    Verse 01: Kipyenga kimelia Mambo Magumu/ Mithili ya Sumu/ Uchungu na maumivu ambayo huwezi kuvumilia/ Kaa tulia/ Futa machozi msela inatusumbua hela/ Hatuna hata kitu kidogo Cha kupeleka tumboni/ Shida zimejaa, kidogo ulichonacho, lakini bado wanatoa macho/ Lakini kwa masela, mbele kwa mbele...
  12. The Sheriff

    Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
  13. MK254

    Ukraine wakomboa kijiji cha kwanza Luhansk, operesheni mbele kwa mbele

    Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the latest prize for Ukraine’s continuing counter-offensive pushing Russia away from the second city of...
  14. P

    Heshima ya kukaa viti vya mbele

    Heshima ni nini?Ni kukaa viti vya mbele kwenye magari au hafla mbalimbali? La hasha! Baba mzazi Fulani alisikika akimlalamikia mwanae baada ya kumuweka mkewe kukaa kiti Cha mbele kwenye gari na yeye mzazi kukaa kiti Cha nyuma. Alisema"Hivi Josefu unajisikiaje Mimi baba yako kukaa kiti Cha...
  15. YEHODAYA

    Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

    Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake Putin...
  16. B

    Okra na Sakho waanze kila mechi na Phiri pale mbele

    Simba inabidi Okra asikae benchi, speed yake inaipa Simba nguvu. Namshauri Mgunda asimsikileze Matola. Okra anajua anaspeed anapiga, hakuna haja ya kumuweka Kyombo mbele tunachelewa kushinda, baadae toa Sakho weka Kibu Denis, pia Chama aambiwe anapoza sana mashambulizi. Timu ikishambulia...
  17. MK254

    Mbele kwa mbele, shughuli ya wazalendo wa Ukraine inaelekea Luhansk - zege hailali

    Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea..... Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote. Vijana wa Kiafrika mna...
  18. MK254

    Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

    Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha. ================= Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
  19. JanguKamaJangu

    Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  20. sky soldier

    Hapa sasa nimeamini Wajaluo ni under dogs, Hawawezi chochote mbele ya Wakikuyu na Wakalenjin

    Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa na matokeo yalishajulikana.. Kikuyu na Kalenjin ndio wataifaidi keki ya Kenya milele. Raila...
Back
Top Bottom