mbeya

  1. BARD AI

    Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

    Utafiti wa Hali ya UKIMWI nchini (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022/23) umeonyesha kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kwa watu wazima (miaka 15 na zaidi) kuwa kimepungua kutoka asilimia 4.9 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23. Mikoa mitatu yenye kiwango cha juu cha maambukizi...
  2. masopakyindi

    Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

    "Jiji" la Mbeya ni 90% squatters. Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa. Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati. Lakini sehemu ambazo...
  3. M

    Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya miaka 40 walilitwaa bila kulipa fidia. Clip hiyo IPO wakati waziri anakabidhi mbele ya mkuu wa...
  4. Pfizer

    Mhandisi Bishanga: Barabara ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka Igawa (Mbeya) hadi Tunduma (Songwe) km. 218, inagharimu trilioni 1.33

    Serikali ya awamu ya sita imeendelea kufungua Nchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo Mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa barabara ya kimkakati ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka Igawa (Mbeya) hadi Tunduma (Songwe) yenye urefu wa km. 218 kwa gharama ya shilingi trilioni 1.33 Pia...
  5. M

    Utakuja lini Makonda? Unahitajika Mbeya kutatua changamoto

    Binafsi nilianza kumfahamu na kumkubali Mheshimiwa Makonda baada ya kuchukua hatua na kufanya HARAKATI za KUPAMBANA NA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA. Mpaka kesho nampenda namwamini Makonda. Katika kipindi cha Nipashe ITV asubuhi ya Leo vijana wachimba madini wilaya ya chunya wanawaomba...
  6. Erythrocyte

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum. Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu.
  7. DodomaTZ

    ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  8. Erythrocyte

    Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala...
  9. MFALME WETU

    Mganga wa kienyeji atapeliwa Mbeya, aenda kulalamika kwa mkuu wa mkoa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mganga wa kienyeji Edward Mwansasu mkazi wa Kijiji Cha Ndubi Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulalamika juu ya kutapeliwa na mteje wake aliye mhudumia kwa kumpa dawa za biashara. Mganga huyo amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wakati...
  10. T

    Mbeya: RC Juma Homera amsafishia njia Dkt. Tulia 2025, asema watamlinda kwa mvua na jua

    Dar es Salaam. Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera inayoweza kutafsirika kama anamsafishia njia ya kuja kushinda ubunge Dk Tulia Ackson, imeibua mjadala unaoshinikiza marekebisho ya kuwabana watendaji wa Serikali kutumia madaraka yao kinyume na Katiba. Dk Tulia ambaye ni Spika wa Bunge...
  11. JanguKamaJangu

    Mbeya: Aliyeuza Pori la Akiba akamatwa

    Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Mbeya vimefanikiwa kumtia nguvuni Andrea Ngombeni mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto Wilayani Chunya Mkoa Mbeya kwa tuhuma za kuuza kipande cha ardhi katika pori la akiba la hifadhi Rungwa South linalopakana Mikoa ya Mbeya na Tabora. Mtuhumiwa Andrea ametiwa...
  12. JanguKamaJangu

    Mbeya: Wahamiaji haramu 16 kutoka Ethiopia wakamatwa kwa kuingia Nchini bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa nchini Ethiopia, wote wanaume, umri kati ya miaka 18 - 53 kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Novemba 09, 2023 majira ya 2:00 asubuhi huko kijiji cha Kasumulu, Wilaya ya Kyela, wakati Askari wa...
  13. JanguKamaJangu

    Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  14. L

    Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

    Ndugu zangu watanzania, Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja...
  15. M

    Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

    Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
  16. M

    Picha: FFU Demo in Mbeya

  17. JanguKamaJangu

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  18. M

    Madiwani Mbeya wapongezwa kwa kuwafuta kazi watumishi wabadhirifu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
  19. Mzalendo Uchwara

    Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu

    Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa. Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea...
  20. Erythrocyte

    Unadhani kwanini Maandamano ya Mbeya dhidi ya DP WORLD yanaungwa mkono na watu wote

    Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika . Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu . Unadhani...
Back
Top Bottom