Utangulizi
Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
📖Mhadhara (71)✍️
Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni;
1. Mlima nyoka,
2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na
3. Mlima wa Mbalizi.
Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake.
Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
Ni jambo la kusikitisha kuona stendi ya Nane Nane, Mbeya, ambayo ni kitovu cha usafiri kwa abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini, ikiwa gizani.
Stendi hii ni chanzo kikubwa cha mapato kwa serikali kupitia kodi na ushuru unaolipwa na wajasiriamali na abiria kupitia tiketi, hivyo...
WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA
▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC
▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa nyumbani.
Kikubwa tulichovutiwa SISI ni namna ya mchakato wa upigaji kura ulivyowekwa kisasa...
Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo December 29,2024 wakiwa wamelala.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ulianzishwa kwa lengo la kunusuru kaya masikini na kusaidia wananchi wasiojiweza wakiwemo wazee.
Baada ya kufikiwa na mpango huo kwa baadhi ya wananchi waliopo kijiji cha Shibolya kilichopo wilaya na Mkoa wa Mbeya ulionekana kuwa msaada mkubwa katika...
Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa.
Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu.
Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
Anonymous
Thread
chuo
fedha
katika
mbeyambeya university
must
science
science and technology
technology
university
Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA, baada ya kutokuwepo kwa huduma hiyo muhimu tangu kupata uhuru wa nchi hii.
Bila shaka usambazaji wa...
Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu
Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
Habari Wana Jamvi,
Mitaa mingi ya Jiji la Mbeya kwa sasa imekuwa ikikambiliwa na changamoto ya ongezeko la vibaka au matukio yanayohusisha vibaka.
Kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuripoti kuibiwa na kwa asilimia kubwa Wananchi wengi tunaona wanaotajwa kuhusika ni Watoto wanaoonekana...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Mbeya kimesema Serikali imekuwa chanzo cha kuruhusu mianya ya wizi wa chaguzi zinazofanyika kwa kuwaondoa wagombea wa upinzani ili kukipitisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), hivyo kuunga mkono mpango wa kuwa bila mabadiliko ya mifumo ya kiuchaguzi...
Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo zaidi na namna ya kupiga kura fuata link hii
Wakuu,
Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada?
Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine.
Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...