Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama inanifilisi, nikalazimika kuamua kufuata maji mwenyewe japo kwenye jua kali. Nimezunguka mtaa mzima bila...