KERO Responded Mbezi Beach na Salasala tunauziwa maji Tsh 1,500 hadi 2,000 kwa dumu, Viongozi husika mmeridhika na hali hii kila Mwaka?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama inanifilisi, nikalazimika kuamua kufuata maji mwenyewe japo kwenye jua kali. Nimezunguka mtaa mzima bila mafanikio; maeneo mawili tu niliyopata maji, nayo yalikuwa ya chumvi.

Nikaelekezwa kufika eneo la Jogoo, karibu na ofisi ndogo yenye mitambo ya DAWASA. Nilipofika, maji yalikuwa yanauzwa Tsh 500 kwa dumu, lakini kulikuwa na watu wengi waliokesha na madumu na ndoo zao wakisubiri maji. Naambiwa kuwa hayo ni maji ya DAWASA, lakini bei ni Tsh 500 kwa dumu au ndoo kubwa, na Tsh 300 kwa ndoo ndogo.
photo_2025-12-12_22-27-41.jpg

photo_2025-12-12_22-38-07.jpg
Kwa kweli, hali hii ikiendelea, wakazi wengi wa Dar es Salaam tuko kwenye hatari ya kufilisika. Fikiria kununua maji kwa Tsh 500 bila hata kujumlisha gharama ya usafiri. Akina mama na watoto saa 11 alfajiri wanakimbizana na ndoo wakitafuta maji na mengine ni ya chumvi.

Najiuliza kama viongozi wanafahamu ukubwa wa changamoto hii. Kwa sasa mambo hayaendi sawa; kila ukifikiria changamoto ya maji, moyo unakosa amani. Wananchi tunateseka sana hasa kipindi cha jua kali.

Wametoa taarifa kwamba baadhi ya maeneo maji yatanza kutoka lakini ukifuatilia taarifa hiyo haina uhalisia katika utekezwaji wake maana maeneo mengi yaliyobainishwa hususani mwambao wa Tegeta na Madale maji hakuna.

Wito wangu kwa viongozi: tafuteni suluhu ya kudumu. Wananchi hatupaswi kuteseka hivi kila mwaka kana kwamba hakuna watu tuliowapa jukumu la kusimamia mipango kwa kutumia kodi zetu.
1765566432401.png

photo_2025-12-12_22-51-17.jpg

Mbezi Jogoo kuna mitambo ya maji ya Dawasa.​
 
Hapo kikubwa ni kufanya subra tu na kumuomba m.mungu tu kwasababu kusema kuna serikali itakusikiliza ni uongo hio serikali yenyewe Ni haramu haihitaji wewe kuichagua kwahio inajua huwezi kuiwajibisha na ukiongea na kulalamika wanasema umetumwa na mabeberu na umelipwa daaah acha tu
 
Kabwela uliyejichanganya ushuani unaumbuka, wenzako full shower wewe unalili Madumu?
😂😂😂😂
Kwa siku tatu nimekuwa nikinunua maji kwa Tsh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama inanifilisi, nikalazimika kuamua kufuata maji mwenyewe japo kwenye jua kali. Nimezunguka mtaa mzima bila mafanikio; maeneo mawili tu niliyopata maji, nayo yalikuwa ya chumvi.

Nikaelekezwa kufika eneo la Jogoo, karibu na ofisi ndogo yenye mitambo ya DAWASA. Nilipofika, maji yalikuwa yanauzwa Tsh 500 kwa dumu, lakini kulikuwa na watu wengi waliokesha na madumu na ndoo zao wakisubiri maji. Naambiwa kuwa hayo ni maji ya DAWASA, lakini bei ni Tsh 500 kwa dumu au ndoo kubwa, na Tsh 300 kwa ndoo ndogo.

Kwa kweli, hali hii ikiendelea, wakazi wengi wa Dar es Salaam tuko kwenye hatari ya kufilisika. Fikiria kununua maji kwa Tsh 500 bila hata kujumlisha gharama ya usafiri. Akina mama na watoto saa 11 alfajiri wanakimbizana na ndoo wakitafuta maji na mengine ni ya chumvi.

Najiuliza kama viongozi wanafahamu ukubwa wa changamoto hii. Kwa sasa mambo hayaendi sawa; kila ukifikiria changamoto ya maji, moyo unakosa amani. Wananchi tunateseka sana hasa kipindi cha jua kali.

Wametoa taarifa kwamba baadhi ya maeneo maji yatanza kutoka lakini ukifuatilia taarifa hiyo haina uhalisia katika utekezwaji wake maana maeneo mengi yaliyobainishwa hususani mwambao wa Tegeta na Madale maji hakuna.

Wito wangu kwa viongozi: tafuteni suluhu ya kudumu. Wananchi hatupaswi kuteseka hivi kila mwaka kana kwamba hakuna watu tuliowapa jukumu la kusimamia mipango kwa kutumia kodi zetu.
 
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama inanifilisi, nikalazimika kuamua kufuata maji mwenyewe japo kwenye jua kali. Nimezunguka mtaa mzima bila mafanikio; maeneo mawili tu niliyopata maji, nayo yalikuwa ya chumvi.

Nikaelekezwa kufika eneo la Jogoo, karibu na ofisi ndogo yenye mitambo ya DAWASA. Nilipofika, maji yalikuwa yanauzwa Tsh 500 kwa dumu, lakini kulikuwa na watu wengi waliokesha na madumu na ndoo zao wakisubiri maji. Naambiwa kuwa hayo ni maji ya DAWASA, lakini bei ni Tsh 500 kwa dumu au ndoo kubwa, na Tsh 300 kwa ndoo ndogo.
Kwa kweli, hali hii ikiendelea, wakazi wengi wa Dar es Salaam tuko kwenye hatari ya kufilisika. Fikiria kununua maji kwa Tsh 500 bila hata kujumlisha gharama ya usafiri. Akina mama na watoto saa 11 alfajiri wanakimbizana na ndoo wakitafuta maji na mengine ni ya chumvi.

Najiuliza kama viongozi wanafahamu ukubwa wa changamoto hii. Kwa sasa mambo hayaendi sawa; kila ukifikiria changamoto ya maji, moyo unakosa amani. Wananchi tunateseka sana hasa kipindi cha jua kali.

Wametoa taarifa kwamba baadhi ya maeneo maji yatanza kutoka lakini ukifuatilia taarifa hiyo haina uhalisia katika utekezwaji wake maana maeneo mengi yaliyobainishwa hususani mwambao wa Tegeta na Madale maji hakuna.

Wito wangu kwa viongozi: tafuteni suluhu ya kudumu. Wananchi hatupaswi kuteseka hivi kila mwaka kana kwamba hakuna watu tuliowapa jukumu la kusimamia mipango kwa ku

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama inanifilisi, nikalazimika kuamua kufuata maji mwenyewe japo kwenye jua kali. Nimezunguka mtaa mzima bila mafanikio; maeneo mawili tu niliyopata maji, nayo yalikuwa ya chumvi.

Nikaelekezwa kufika eneo la Jogoo, karibu na ofisi ndogo yenye mitambo ya DAWASA. Nilipofika, maji yalikuwa yanauzwa Tsh 500 kwa dumu, lakini kulikuwa na watu wengi waliokesha na madumu na ndoo zao wakisubiri maji. Naambiwa kuwa hayo ni maji ya DAWASA, lakini bei ni Tsh 500 kwa dumu au ndoo kubwa, na Tsh 300 kwa ndoo ndogo.
Kwa kweli, hali hii ikiendelea, wakazi wengi wa Dar es Salaam tuko kwenye hatari ya kufilisika. Fikiria kununua maji kwa Tsh 500 bila hata kujumlisha gharama ya usafiri. Akina mama na watoto saa 11 alfajiri wanakimbizana na ndoo wakitafuta maji na mengine ni ya chumvi.

Najiuliza kama viongozi wanafahamu ukubwa wa changamoto hii. Kwa sasa mambo hayaendi sawa; kila ukifikiria changamoto ya maji, moyo unakosa amani. Wananchi tunateseka sana hasa kipindi cha jua kali.

Wametoa taarifa kwamba baadhi ya maeneo maji yatanza kutoka lakini ukifuatilia taarifa hiyo haina uhalisia katika utekezwaji wake maana maeneo mengi yaliyobainishwa hususani mwambao wa Tegeta na Madale maji hakuna.

Wito wangu kwa viongozi: tafuteni suluhu ya kudumu. Wananchi hatupaswi kuteseka hivi kila mwaka kana kwamba hakuna watu tuliowapa jukumu la kusimamia mipango kwa kutumia kodi zetu.
Acha kuleta taharuki

Tulinde amani ya nchi yetu
 
Badili id
 
Sifa ya kuwa mkurugenzi idara ya maji inatakiwa utoe hongo kuanzia 50ml+ na gawio la kuanzia 20m kila waziri atakapokuja au kwenye futari. What did you expect then?
 
Back
Top Bottom