KERO Responded Mbezi Beach na Salasala tunauziwa maji Tsh 1,500 hadi 2,000 kwa dumu, Viongozi husika mmeridhika na hali hii kila Mwaka?

KERO Responded Mbezi Beach na Salasala tunauziwa maji Tsh 1,500 hadi 2,000 kwa dumu, Viongozi husika mmeridhika na hali hii kila Mwaka?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hatutakiwi hata kuyalipia kwa mwezi yakiwa yanatoka kwa utajiri wa rasilimali tulizonazo, miaka nenda rudi tumekaririshwa mto Ruvu, akili zetu zimelalia kwenye magari tu ya starehe na gharama kubwa kila yatokapo mapya, kuzindua vyanzo vipya vya upatikanaji wa huduma bora ya kijamii inakuwa tabu. Mkiambiwa tokeni ndani tudai mabadiliko mnatuona ka wapumbavu vile. Endelea kulalamika hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom