Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli Bus Terminal.
Kwanza Daladala ikiwa inaingia hasa majira ya asubuhi ambapo kuna mpishano wa...
Huyu ni Mgombea wa nafasi katika Serikali ya Mtaa Mshikamano, huko Mbezi Louis, jijini Dar. Anaitwa Masoud “Lupenga” Mbaruku.
Kwenye moja ya kampeni zake ameahidi kuwa watafanya vyovyote vile kuhakikisha dola ya Mtaa wa Mshikamano inabaki kwenye chama chake cha CCM.
Kuna daladala huwa zinazingua sana. Yaani unaenda mahali lakini hawakufikishi kama inavyopaswa. Kwa mfano, unaweza kuwa unaenda mahali, lakini wakiona mmebaki watu watano ndani ya gari wanageukia mbali na kituo, au wakati mwingine wanakufaulisha kwenye gari lingine lililojaa na nafasi ya kukaa...
Wasalaam!
Katika pilika pilika nimekutana na hii route ya daladala.Yaani unaanzia Mbezi Louis stendi kwenda Mwenge lakini unatakiwa kupitia Madale road ,,Bagamoyo road.Wadau hii route tunaionaje au ni kutafuta mzunguko tuu wa Bure kufika Mbezi Louis au Mwenge.
Salaam Wadau,
Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
Tatizo kubwa ni kuwa na soko kubwa eneo moja ndio maana wafanyabiashara wanapata jeuri ya kuivimbia Serikali, kuna haja sasa kwa Serikali kuanzisha soko kubwa la kimkakati katika maeneo ya Mbezi Mwisho karibu kabisa na stendi ya mabasi ya Magufuli.
Tumeona adha iliyo sababishwa na...
Ni jambo la kusikitisha sana Stand ya daladala Mbezi luis kugeuzwa soko, hasa nyakati za Jioni kuanzia saa 12 Jion na kuendelea.
Ukipita stand ya Mbezi luis kuanzia barabara ya kwenda Kinyerezi kunakuwa na foleni kubwa sana daldala haziingii ndani ya stand zinapaki na kushusha abiria njiani kwa...
Morning,
Now hii imekuwa kero kubwa huku Mbezi maji yamefunguliwa juzi leo morng yamekatika na kurudi kwake ni week.
Tumekaa week bila maji the yanakuja kufunguliwa two days yanakatika na hawafungi mpaka week ipete imezidi sasa.
Af mwisho wa mwezi bill kubwa ase silipi this time.
Habari Wanajamvi
hii ni kuweka kumbukumbu tu
Kwa wasiojua Mbezi ndio kuna Stendi ya Magufuli pia kuna stendi ndogo ya daladala
baada ya miaka 5-10 kwa miundombinu inayojengwa Mbezi haitoweza kukidhi kutakua na foleni zaidi ya ile iliyokuwa Ubungo.
Tanroad wamejitahidi lakini sidhani kama...
Habari za muda huu JamiiForums.
Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi.
1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime).
2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.
PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha...
Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichozinduliwa siku mbili zilizopita na Rais John Magufuli.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Februari 26,2021 Meneja wa kituo hicho, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia na kusababisha...
Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi.
Sasa swali:
1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake.
Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali.
Magufuli...
KWA KAULI YA JPM,
Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO.
Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako,
Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.