Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika.
Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo.
============
Waziri...
Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais.
Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea.
Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k
Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa...
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake
Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jaffo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7
Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa...
UJENZI wa stendi mpya ya mabasi yaendayo ndani na nje ya nchi katika eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa baada ya kumpata mkandarasi atakayejenga. Ujenzi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya Sh Bilioni 50 za Tanzania, unatajwa kuwa mkubwa na wa...
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imepitisha Sh75 bilioni za bajeti kwa mwaka 2018/2019 huku kipaumbele kikiwekwa kwenye utalii.
Kati ya fedha hizo, Sh65 bilioni ni za maendeleo ambazo zitahusisha miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi Louis, madarasa na vibanda vidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.