mbezi mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mejjah92

    Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  2. N

    Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  3. DolphinT

    KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  4. Waufukweni

    Mama aliyedaiwa kufanya ukatili na video yake kusambaa mitandaoni akimpiga mtoto akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Sabrina Shabani, mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Mbezi Mwisho, baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimshambulia mtoto mdogo. Tukio hilo limeibua masikitiko na hasira kwa umma, na uchunguzi wa awali ulifanywa kwa kushirikiana...
  5. Waufukweni

    Waziri Gwajima kukomesha ukatili baada ya video ya Mama akimshambulia mtoto kusambaa

    Tukio la video ya mtoto akiadhibiwa vikali na mama yake, lililopostiwa na mwanahabari Tweve Devota kupitia mtandao wa X, limezua taharuki mtandaoni. Mama huyo, anayeishi Mbezi Mwisho, Dar es Salaam, anadaiwa kumtesa mtoto wake mara kwa mara. Dkt. Gwajima D , Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  6. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Mbezi Mwisho: 10 Master Bedroom Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Mshikamano, Mpigi Magoe Road, 1 km off Morogoro Road • Facilities: 10 bedrooms, 12 washrooms • Survey: surveyed • Plot Area: 1,600 sqm • Document: Sales agreement • Price: TSH 130 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ panafaa biashara ya kupangisha ✓ kiwanja kina ulalo kidogo na...
  7. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Mbezi Mwisho: Plot with 3 Bdrm House For Sale

    • Direction: Mbezi Inn, 700 meters off Morogoro Road • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 1,200 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 120 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ kiwanja kina ulalo kidogo na hakina uzio ✓ nyumba inajitosheleza. Vyumba master 1 na kawaida 2 ✓...
  8. E

    KIWANJA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI

    KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI BEI NI MILION 13 TU ■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20 ■■UMEME NA MAJI YAPO SITE ■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA 0675 065906
  9. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  10. USSR

    KERO Waziri Aweso, DAWASCO Mbezi Mwisho hakuna maji wiki ya pili sasa tatizo nini? Kesho tunaandamana hadi kwa DC wa Ubungo

    Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga? Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza...
  11. Kasri Homes Tz

    INAUZWA Mbezi Mwisho: Operating 17 Shop Frames For Sale - Dar

    • Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal) • Condition: Good • Plot Size: 5mx50m • Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano) • Price: TZS 1.5 billion . ✓ maduka yako 17 na mabanda ya chuma 6 ✓ yanapakana na barabara ya lami ✓ yote yana wapangaji ✓ hii ni kodi ya maduka kwa mwezi...
  12. Aramun

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  13. MrsPablo1

    House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
  14. BigTall

    Hawa watu Mbezi Mwisho wanatumia kivuli cha Bahati Nasibu kuwaibia watu

    Ndugu zangu katika pitapita zangu nimefanikiwa kufika mitaa ya Mbezi Luis karibu na ilipo Stendi ya Mabasi ya Magufuli, nadhani ile ni Kata ya Mbezi, kuna mambo kadhaa yanaendelea yanayohusu utapeli kama ilivyo kawaida kunapokuwa na purukushani za watu Jijini Dar. Karibu na Daraja la kuelekea...
  15. BigTall

    Barabara ya Mbezi Mwisho, Kimara kuelekea Town kila siku asubuhi kuna foleni kubwa, hivi tatizo ni nini?

    Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana. Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la...
  16. BigTall

    Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  17. JanguKamaJangu

    Hali ya Usafiri wa Mwendokasi Mbezi Luis asubuhi ya leo ni shida kama zote

    Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023. Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu. Upande wa...
  18. Roving Journalist

    KERO Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  19. AKILI TATU

    Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  20. JanguKamaJangu

    DOKEZO Giza limetawala Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, abiria wanategemea mwanga wa taa za gari

    Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe. Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo. Kwa ninavyowaona vijana ambao...
Back
Top Bottom