Majukumu yako
Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa
Mshahara
200,000 kwa mwezi
Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi.
ELIMU
Uwe umefika Chuo chochote
Usikie na kuelewa...
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna idadi kubwa ya watu wanapisha kama utitili.
Wanawake 9/10 wamevaa nguo za kuonyesha hadi mbususu...
Habari Wadau,
Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa.
Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie
Kwenye vyoo napo mambo si...
Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho.
Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi.
Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
Nawasalimu ndugu zangu
Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho
Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
Heri ya Mwaka mpya wakuuu,
Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata mbususu kwa wadau (dada zetu hawa watoa huduma).
Nimekuja kugundua hii sehemu ina uhaba wa mbususu...
Wakuu
Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro
Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni...
Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.
Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.
Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya...
Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta.
najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.
PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.