mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Kwa Musuguri

    Kiwanja ukubwa 656 M2 kinauzwa sh 45Mil. Kipo Mbezi Kwa Musuguri barabara ya zege iendayo malamba mawili. Kiko umbali wa mita 32 kutoka barabara kuu. Mawasiliano 0713273195.
  2. House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach bei 650000$

    650k USD Maongezi yapo tuwasiliane 0769619500 rasta majumba Mita 600 kutoka beach Ipo wa mtaa wa pili kutoka mwai kibaki road Ukiwa gorofa ya kwanza unaona bahari
  3. Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mbezi Beach Sqm 12,000

    Habari maboss. Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu. Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200 Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina hati kwajili ya matumizi ya kiwanda. Kiwanja hiki kinafaa kwajili ya kwajili ya matumizi ya...
  4. W

    Wito wangu madereva zingatieni sheria za usalama barabarani ili tumalize siku salama

    Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara. Dereva wa hii gari asubuhi hii amefanya makosa ambayo kama si kwa umahiri wa dereva wa chombo...
  5. Mbezi beach kiwanja kinauzwa

    KIWANJA HIKI HAPA KINAFAA SANAA KWA MAKAZI NA HATA BIASHARA UJENZI WA APARTMENTS Kiwanja kipo ushuani sanaa, Ni mbezi Beach kwa Mwamnyange Mitaa safi, ukijenga nyumba ya kuishi au Ukijenga apartments basi zitakuletea faida kwa haraka sana Ukubwa wa kiwanja ni sqm 900 Kina Hati safi Bei milion...
  6. House4Sale Mbezi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Survey: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  7. Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  8. LATRA Pwani: Tunaziwajibisha Daladala zinazokatisha ruti Mbezi - Mlandizi, pia tumesitisha utoaji wa Leseni mpya

    Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja. Akasema kuwa hali...
  9. DAWASA na TARURA warekebisha barabara zilizoharibiwa kutokana na mifumo ya Majitaka Mitaa ya Mbezi Beach

    Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
  10. N

    Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  11. A

    KERO Ubovu wa bara bara ya Mbezi msumi na kutojengwa kwa daraja

    Barabara ya Mbezi Msumi kutoka Mbezi mpaka njiapanda ya mbopo na Msumi imeharibika sana, daraja toka lilipo bomoka mwaka 2023 January tukaambiwa litatengenezwa ujenzi wa barabara utakapoanza mwezi wa tatu 2023 lakini hakuna kilichofanyika, Tukaahidiwa ujenzi kuanza mwezi wa nane lakini pia...
  12. M

    Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  13. House4Sale Mbezi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Ideal: • Survey: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  14. Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  15. VITUO: Mbezi kuelekea mlandizi

    Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
  16. M

    LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  17. A

    KERO Adha ya maji kwa wakazi wa Makabe Secondary, Mbezi Tabata Kavimbilwa

    Habari . Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu. Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa nini chanzo cha tatizo hilo . Tuliambiwa kutakuwa na siku mbili za kupata...
  18. LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

    Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda
  19. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  20. House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

    Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis Njia ya kwenda Goba Eneo lina SQM 400 (20×20) Nyumba ina umeme na maji Nyumba ina vyumba vinne. Finishing haijakamilika vizuri. Dakika 10 tuu mpaka barabarani Inahitajika milioni 36 tu...🔥 ☎️ +255 783755971 Karibuni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…