Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.
Ikiwa bado tu hayati Magufuli hajazikwa, Machinga na wafanyabiashara wadogo katika stendi ya Magufulu kwa mabasi yaendayo mikoani tayari wameaanza kushikishwa adabu na mgambo wa jiji
Kiufupi hawatakiwi kufanya biashara zao ndani na nje ya stendi. Namba inasomwa kweli kweli
Nyumba bora ya ghorofani, inavutia na ya kisasa. Nyumba ipo eneo tulivu la Mbezi Juu, ukiwa sebuleni au katika Varanda unatazama Bahari ya Hindi Au unapuliziwa upepe mwanana wa Bahari.
Nyumba ipo wazi na tayari kwa ajili ya kupangishwa. Nyumba ina muonekano wa kuvutia ndani na nje Ina vyumba...
Habari za asubuhi,
Naombeni kujua sehemu gani nipeleke nguo zangu zifuliwe na kupigwa pass vizuri kabisa maeneo ya Mbezi Mwisho, ilipohamia stend ya magari ya mkoani.
Msaada wenu wakuu?
Wadau,
Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
Kina ukubwa wa 2500 square meters
Kimepimwa
Kinafikika
Huduma za maji na umeme zipo. Bei elekezi 200mil.
Kwa habari zaidi kuhusu kiwanja hiki wasiliana nami kwa simu +255627660225
Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta...
Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums
Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo.
Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa!
Hakika mitano tena.
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===
MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo umeanza au umeahirishwa?
Sababu iliyo nisukuma kujua jambo hilo ni kutokana na usumbufu mkubwa uliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.