mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. Wale wa Mbezi Magohe, naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri kwa binti wa darasa la tano

    Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
  2. Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  3. Kuna Nini maeneo ya Mbezi Beach? Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti

    Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti hivi.....
  4. Plot4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  5. K

    Naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?

    Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi? Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
  6. Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  7. TANROADS: Tutaufanyia kazi ushauri kuhusu eneo la Mbezi Bondeni- Bagamoyo Road (Dar) kuwekwa 'Fly over'

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi Tangibovu ili kuboresha zaidi miundombinu. Hayo yameelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS...
  8. House4Rent Mbezi Beach: 2 Storeys Standalone House For Rent - Dar

    • Direction: Sea Side • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: USD 3,500/month (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba ya ghorofa 1 ✓ inapangishwa na samani zake ✓ Vyumba vinne self, sebule, jiko, dinning, public washroom, Stoo ✓ madirisha vioo...
  9. Plot4Sale Mbezi Mwisho: 10 Master Bedroom Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Mshikamano, Mpigi Magoe Road, 1 km off Morogoro Road • Facilities: 10 bedrooms, 12 washrooms • Survey: surveyed • Plot Area: 1,600 sqm • Document: Sales agreement • Price: TSH 130 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ panafaa biashara ya kupangisha ✓ kiwanja kina ulalo kidogo na...
  10. KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi kaskazini(kwa lubaba hadi pande) hatuna huduma ya uzoaji TAKA tangu february 2024

    Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka. Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
  11. Plot4Sale Mbezi Mwisho: Plot with 3 Bdrm House For Sale

    • Direction: Mbezi Inn, 700 meters off Morogoro Road • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 1,200 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 120 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ kiwanja kina ulalo kidogo na hakina uzio ✓ nyumba inajitosheleza. Vyumba master 1 na kawaida 2 ✓...
  12. E

    KIWANJA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI

    KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI BEI NI MILION 13 TU ■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20 ■■UMEME NA MAJI YAPO SITE ■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA 0675 065906
  13. J

    Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...
  14. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  15. KERO Waziri Aweso, DAWASCO Mbezi Mwisho hakuna maji wiki ya pili sasa tatizo nini? Kesho tunaandamana hadi kwa DC wa Ubungo

    Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga? Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza...
  16. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali mpaka haileti huduma ya maji na miundombinu ya barabara?

    Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi. Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
  17. INAUZWA Mbezi Mwisho: Operating 17 Shop Frames For Sale - Dar

    • Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal) • Condition: Good • Plot Size: 5mx50m • Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano) • Price: TZS 1.5 billion . ✓ maduka yako 17 na mabanda ya chuma 6 ✓ yanapakana na barabara ya lami ✓ yote yana wapangaji ✓ hii ni kodi ya maduka kwa mwezi...
  18. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  19. BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  20. Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

    Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo. Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…