Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center, bakery na nyingine nyingi.
ukipenda fremu bei ni laki tano kwa mwezi ina Sqm...