Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi.
Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi .
Ukihitaji kuona fremu nicheki
📞...