Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2.
Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.