mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Its Pancho

    Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  2. Analogia Malenga

    Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa amehitimu darasa la 7 mwaka 2021 akisubiri kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2022 Hukumu...
  3. S

    Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  4. The Palm Tree

    Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja

    Wakuu, huyu mtu kama niwewe ungemshauri afanyeje. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja.
  6. Superbug

    Nipo kiwandani Mtibwa, Turiani; umeme umekatika mara kumi toka saa kumi na mbili mpaka muda huu

    Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni Siasa? Tanesco? Maji? Gesi? Mitambo chakavu? Hujuma? Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
  7. MK254

    Ndege mbili za kivita za Urusi zapigwa

    Vita baina ya ndege Kwa Ndege, Urusi amepoteza mbili aina ya SU-35 The publication states that there was an air battle between two Ukrainian MiG-29 fighters and two Russian Su-35C fighters belonging to the Russian Air Force. According to the Ukrainian Air Force, the two Russian fighter jets...
  8. dubu

    Mbarali, Mbeya: Waogelea siku mbili kumsaka aliyeanguka darajani

    CGFM RADIO wameripoti kwamba Wananchi wa Kijiji cha Kapunga Kata ya Itamboleo Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamejitokeza siku mbili mfululizo kumtafuta Bwana Mussa Mganwa(35) mkazi wa Kapunga anayehofiwa kusombwa na maji baada ya kuteleza darajani Mussa alisombwa na maji 28 Februari,2022...
  9. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  10. Kasomi

    Fahamu aina kuu mbili za Madeni

    AINA KUU 2 ZA MADENI. Tokomeza madeni. Kuna aina kuu mbili za madeni. Aina ya kwanza ni madeni mazuri na aina ya pili ni madeni mabaya. Soma kwa makini ili kujua unaangukia kwenye aina gani ya madeni. Madeni mazuri ni yale ambayo marejesho yake hayatokani na chanzo kingine cha mapato bali...
Back
Top Bottom