mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vita vya intaneti ni vita vyingine Israel ilivyoshindwa mapema huko Gaza. Jifunze mbinu zilizotumika

    Gaza ikiwa ni kama gereza la wazi la muda mrefu imefungiwa na kila kitu kuingia humo chini ya uangalizi wa Israel.Hata mawasiliano pia lazima yapitie Israel. Mara Israel ilipoamua kuingiza askari wa miguu wakiongozwa na vifaru ilijua ingepata hasara kubwa ambazo wasingependa zijulikane na raia...
  2. D

    Tuseme ukweli, Gamondi anafeli pakubwa sana Yanga

    Salaam wana JF, Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana...
  3. Watendaji Dawati la Jinsia ‘kupewa mbinu mpya’ Dodoma

    Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wapo Jijini Dodoma lengo likiwa ni kuwapa mafunzo nambinu za kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyofanywa na baadhi ya watu wenye ulewa mdogo na imani potofu. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  4. Mchambuzi Edgar Kibwana wa CMG kama Kiingereza chako ni cha Kubabaisha kama Changu uwe unatumia Mbinu hii ili Usikikosee na Usishtukiwe kuwa hukijui

    Ukikutana na Mgeni hasa Mzungu au Mmarekani Mweusi halafu ukataka kufanya nae Mahojiano basi hakikisha Maswali yako yanakuwa ni mafupi mafupi na ya moja kwa moja sawa? Muda mfupi uliopita nimekusikia Sports Extra ya Clouds FM ukitumia dakika 5 nzima Kuzunguka Kuuliza Swali la Sekunde 10 au 15...
  5. Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  6. Kushinda uchaguzi 2024 ANC watumie mbinu za CCM 2020

    Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda; 1. Mchujo kupitia wajumbe, 2. Kupita bila kupingwa, 3. Kuzima internet (wakati wa kutangaza mshindi)
  7. Israel kutumia mbinu za Misri, Kujaza maji ya Baharini kwenye mashimo yote walimojificha Hamas

    Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza. Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na...
  8. Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

    Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi 😀😀 JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha...
  9. Mtaala wa familia: Wazazi tunaopenda elimu ya kujitambua tupeane mbinu

    Nawasalimia nyote katika jina la Nguvu Kuu iletayo uzima na kifo. Hoja yangu ni mbinu za nyakati hizi kuwafanya watoto wetu wapanue uwezo wa kujitambua na kujitegemea katika kukabiliana na dunia ya sasa. Hapa naongelea wazazi wanaojua hasa nini maana ya kulea. Wanaotafsiri upendo...
  10. Je viongozi wengi kuwaponda vijana ni mbinu ya kuwanyong'onyeza ili waendelee kula keki ya taifa peke yao?

    Kumponda kijana, kumvunja moyo na kumtamkia kauli za kumkatia tamaa ni kushambulia uti wa mgongo wa taifa. China imepromote vijana, hadi leo ndio nchi inayoongoza kuwa na malaki ya mabilionea under 30. Tukumbuke wakina Nyerere, Salim etc walianza kung'aa wakiwa vijana. Kumeibuka kundi la...
  11. Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa

    Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa.... IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages., “We continue to deepen our operational activity at Shifa...
  12. Mbinu za kubaini kama picha uliyoiona imewahi kutumika mahali kwingine

    Kuna wakati upotoshaji huweza kutokea kwa kutumia picha ya zamani au picha isiyo mahali pake kuwaaminisha watu kuwa picha hiyo inahusiana na tukio au taarifa husika. Watumiaji wa picha hii hukusudia kuibua taharuki au kutaka kukupa nguvu upotoshaji wao kuufanya uaminika kirahisi. Zifuatazo ni...
  13. Mbinu za kumuaminisha shemeji yenu kuwa sina mchepuko kabisa

    Unajua kama kuna wajinga (sio tusi bali ni kutokuwa na ufahamu) wanaamini waume zao hawana kabisa mchepuko? Wapo, ndio hawa mnaowasikia kanywa sumu baada ya kujua ukweli. Nakwambia hivi wewe mdada, hakuna kitu kama hicho, Labda mume wako awe na matatizo ya kiafya. Hata kama hana hela atakula...
  14. Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

    Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi. Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa. Wapalestine wa...
  15. Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

    Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako. Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu. Usikubali mtu afahamu...
  16. Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

    Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa. Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka. Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye...
  17. Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

    Kwema Wakuu! Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili. Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli...
  18. Jino kwa jino ndiyo mbinu sahihi ya kudili nayo kwenye mahusiano

    Kwema Wakuu! Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima. Nipende nikuonyeshe upendo maradufu. Nijali nikujali. Niheshimu nikuheshimu. Niletee upuuzi alafu...
  19. H

    Ushauri: TANESCO itumie kipindi hiki cha mgao kufanya ukarabati wa miundombinu yake

    Salamu na poleni ya wote. Hali ni tete na ngumu lakini ndio ivo hakuna namna.Kama mkubwa kakaa chini we mdogo utafanya nn. Pamoja na mgawo tatizo kubwa jingine kwa umeme wetu kukatika katika ni kuwa na miundo mbinu uliyokaa muda mrefu bila kufanyiwa ukaguzi au service. Yaani kutofanya gwaride...
  20. Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu. Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo. Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…