Habari waungwana
Hongereni kwa pilika pilika za kutwa nzima za kupambania maisha, natafuta wateja wa kununua mboga mboga aina ya chainizi
shamba lipo morogoro berega na linafikika kwa urahisi sana na hasa kwa wale wa kibaigwa, Dodoma Mjini, Morogoro Mjini na hata kwa Dar pia
Shambani nina...