Tanzania nzima: Tuanzishe kampeni ya kilimo cha mboga mboga majumbani iwe milele

Tanzania nzima: Tuanzishe kampeni ya kilimo cha mboga mboga majumbani iwe milele

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !...

Natamani leo hii tungekuwa na utaratibu wa kila kaya iwe na utamaduni wa kulima mboga mboga yaani iwe utamaduni wa Tanzania nzima. Hata kama mtu au familia yake sio wapenzi wa matumizi ya mboga mboga za majani hiyo sio tatizo ila lazima aishi huo utamaduni.

Leo hii inashangaza gharama zimekuwa kubwa kupata mboga za majani kuanzia mbegu, mbolea na viua wadudu. Hii sio sawa.

Cc
Wizara ya Kilimo
Idara ya Utafiti wa mboga mboga
Tamisemi
Wananchi
 
Back
Top Bottom