Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.
Hello Wadau
Mimi kama kijana Mjasiliamali nimeweza kutembea kwenye Mapango kadhaa na nimefanikiwa kukusanya mbolea ya Mavi ya Popo wa Porini na kiasi kidogo ya Wale wa nyumbani na kuitumia hii mbolea na nimeona matokeo chanya kwenye uzalishaji wake.
Lengo langu sasa ni kuwaridhisha vijana...
Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya.
Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia
"Hii alizeti mbegu siijui jina ila namimi niliomba kwa mtu na haoa unaiona sikutumia Mbolea na...
MBOLEA zinazotumika Katika kilimo ni moja ya kemikali zinazozalishwa kwa kuibadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA katika nchi zilizo endelea. Hivyo kilimo cha Tanzania kinaweza kufaidika sana kama tukianzisha kiwanda kikubwa cha kubadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA.
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki...
Jana 29/11/2020 wauzaji wa mbolea wanadai bei elekezi ya kuuzia mbola imeongezeka.
Tarehe 26/11/2020 nimenunua mfuko wa DAP kwa 52,000/ Jana mfuko huohuo naambiwa 66,000/= hii bei mbona inabadiliko kubwa sana hivyo.
Ina maana Mamlaka husika ndizo zimepanga bei hii na tukumbuke mbolea haina VAT...
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu bila kusahau harakati za kampeni za uchaguzi.
Kuna maswali najiuliza juu ya huu mchakato wa ugawaji wa mbolea za yara.
Utaratibu unakutaka Kuomba kupitia kujisajili kwa kutumia menyu unayoipata kwa kupiga *149*46*16# kwanye mitandao ya simu. Utaratibu...
Wakuu nisiwachoshe sana,
Naomba mwongozo kwa anaeweza kunisaidia kuanzisha kiwanda cha uzalishaji mbolea hii adimu kuhusu malighafi ipo ya kutosha! Mnisaidie pa kuanzia ili niweze kuandaa mashine, mtaji na jambo lolote ambalo mnahisi litanisaidia kunzisha mradi huu na pia Alie tayari kuungana...
Habari wadau,
Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia?
Je, nitumie kiasi gani kwa ekari?
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo..
Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
Salaam!
Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea.
Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.