Jana 29/11/2020 wauzaji wa mbolea wanadai bei elekezi ya kuuzia mbola imeongezeka.
Tarehe 26/11/2020 nimenunua mfuko wa DAP kwa 52,000/ Jana mfuko huohuo naambiwa 66,000/= hii bei mbona inabadiliko kubwa sana hivyo.
Ina maana Mamlaka husika ndizo zimepanga bei hii na tukumbuke mbolea haina VAT...