mbosso

  1. Diamond athibitisha Mbosso kuondoka rasmi WCB Wasafi na hajamdai hata TSh. 10

    Bosi wa lebo ya muziki wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amethibitisha Mbosso kuondoka rasmi chini ya lebo hiyo na kuwa msanii huru ambaye anajitegemea mwenyewe kisanaa. Soma: Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB Akimwelezea kutokana na ukarimu na heshima ya Mbosso kipindi chote wakiwa...
  2. Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB

    Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo. Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond Kupitia...
  3. Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  4. Mbosso anapania sana kwenye nyimbo zake: Wimbo huu umeniimbia kabisa!

    Huyu jamaa naona anapania sana kwenye nyimbo zake kuna moja ya mistari yake unasema "vishavu vimeanza kunona kitambi ndo hiki sasa ona nanenepa nanenepa na nami nimempata chioma" Bwana mbosso huu wimbo umeniimbia mimi kabisa 🤣🤣🤣
  5. Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  6. Wasanii wa Wasafi washinda Tuzo Saba usiku mmoja katika East Africa Magic Vibes Awards

    Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
  7. Bob Maneke ampigia magoti Mbosso afanye show ya live kabla mwaka haujaisha

    Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso. Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu kutaka live show ya Mbosso. Mimi naongezea ushauri wa Mbosso kuja na band kabisa ya bongofleva maana...
  8. Mtoto wa Mbosso kazoea hela

    Mtoto kazoea hela 😄
  9. Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  10. Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

    Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana.... Historia kamili hii hapa, Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original, Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa. Bahati...
  11. Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  12. N

    Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  13. Whozu, Mbosso na Bill Nass wafutiwa adhabu ya kufungiwa, watalipa faini tu

    Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata maadili ya Kitanzania. Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao chini ya uongozi wa Waziri wa Utamaduni...
  14. Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
  15. Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

    Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ? Msanii...
  16. Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  17. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  18. Diamond na Mbosso washindana mauno, nani zaidi?

    Hapa kati ya hawa watoto nani anaweza kuyarudi? Waswahili wanasema kusasambua, kuyanengua, kuyamwaga mauno?
  19. Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

    Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso. Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini. Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
  20. Joseph Kusaga ampa support Mbosso

    Joseph Kusaga ameshea jina la EP ya Mbosso. Ep itaitwa KHAN na itatoka kesho saa 6 usiku.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…