Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa relevant Harmonize naye akaitangaza siku hiyo kuwa atatoa album na yeye.
Sasa ni wazi ameyakanyaga...
Aawali ya yote ninapenda kuwashukuru kwa kubahatika kunusa uzi huu. Ifuatayo ni Tafakuri fupi ya uchambuzi Inayotokana na shairi la Tausi lililo ghaniwa na Mpoto akiwa na Mbosso.
Tausi wewe
Tausi wetu
Karibu Tausi uipambe nyumba yetu
Awali Mshairi ana mkaribisha Tausi, hivyo Tausi ni Mgeni...
Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao.
Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania anayeshirikiana na Wasafi Records inayomilikiwa na staa wa bongo, Diamond, amejitokeza na...
Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii hao wawili waache mazoea, ila hana roho mbaya.
"Punguzeni mazoea basi … Hio ni melody nzima ya...
Wakuu,
Kwa mwanzo huyu jamaa hakueleweka sana alipoingia wasafi tofauti na alipokuwa yamoto. Hata mimi sikuwa namkubali Sana wala kumfuatilia sana ila nimekuja kuona na kugundua huyu ni msanii full package kabisa.
Anaimba ngoma za aina nyingi sana, hii tulizana remix aliyoimba na njenje Band...
Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi.
Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may
Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua
Mbosso - Agosti 2018
zuchu - april 2020, saizi ni moto mkali sana
WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music.
Hivi karibuni mfanyakazi/mwanamuziki wa CEO Diamond platnum ajulikanaye kwa jina la Mbosso, ametoa...
Aiseee nimesikiliza goma jipya la Mboso Khan linaitwa "Yalaah" nimehitimisha Kwa kusema kuwa Mbosso ni fundi mpya wa mashairi hapa mjini......
Director Hanscana ni legend
Kitu kingine nilichogundua ni kuwa Diamond anapomsajili msanii anaangalia Sana uwezo wa kutunga mashairi mana ndo njia...
Kampuni ya maziwa ya @TangaFresh leo Septemba 17, 2020, imeingia mkataba na msanii wa bongo fleva @mbosso_ kuwa balozi wa bidhaa za maziwa ya kampuni hiyo, kushoto kwenye picha ni Alex Chonge meneja masoko wa kampuni hiyo.
Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3)
Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu...
Msanii mbosso Khan a.k.a Mr romantic au unaweza kumwita jina lingine muhindi wa kibiti amefurahia kufikisha miaka 2 tangu ajiunge na record label kubwa ya WCB na tangu hapo ameteka mioyo ya watanzania wengi kwa nyimbo zake zenye ufundi wa uandishi pamoja na sauti yake nzuri.
Wakati anasigniwa...
Ahlan wasahlan wanajukwaa,
Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori...
Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki.
Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu.
Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe.
Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize.
Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba hilo gap, lakini nionavyo mimi uwezo wake ndipo ulipoishia. Kama ni kumfikia Harmonize basi alipaswa...
Mbosso – Maajab
Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band.
Kwa sasa ametoka kupitia WCB.
Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na inasemekana ni moja ya sababu kundi kuvunjika ni hivi vipaji viwili.
Kwa kutazama muono wa mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.