Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani.
Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake:
Hoja ya...
Mwana JF,
Hebu fikiria hili. Katiba yetu inasema Tume ya Uchaguzi ikishamtangaza mtu hakuna mtu anaruhusiwa kupinga matokeo mahakamani. Ulishafikiria siku mwenyekiti wa tume akimtangaza mtu yeyote kuwa Rais itakuwaje? Yaani fikiria akitamka kuwa rafiki yake (mathalani Hashimu Rungwe) ndiye...
Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
-...
Hawa wasanii naona hawapo serious.
Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6.
Huyu Alikiba nae Salute atleast audio inasikilizika na ndefu kidogo dakika 4 ila video haileti maana kabisa. Very bad acting. Iko cheap...
Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope!
Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze!
Waziri...
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana.
Ebu cheki...
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.
Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za...
Barcelona wenzangu Valencia wametupiga 2-1 mchezo wa fainali kombe la mfalme, nilivyoyaona magoli yote mawili tuliyofungwa ni uzembe wa wazi wa defenders ukiongozwa na Pique, hivi lini tutaimarisha ukuta wetu? Huyu Pique anasubiri nini kutimuliwa?
Ameshafungisha goli nyingi hadi sasa lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.