mbowe acha siasa

  1. M

    Mbowe achana na siasa kulinda heshima yako

    Hakuna ubishi kuwa umejitahidi kujenga chama chako kwa kadri ya uwezo wako kwa miaka zaidi ya ishirini ambayo ulikuwa Mwenyekiti. Hata hivyo kwa jinsi mchakatao wa kampeni ulivyokuwa ikiwemo shutuma za ajabu ajabu toka kwa aliekuwa Makamu Mwenyekiti wako. Kwa maoni yangu, ni vyema ukaachana...
Back
Top Bottom