mbowe na lissu

  1. L

    Pre GE2025 Mbowe na Lissu msimjibu Msigwa, tutamalizana naye wenyewe

    Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana. Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana, mmenyang'anywa hata mali zenu, mmeshikiwa mtutu wa bunduki. mmewekwa mahabusu kwa manufaa ya akina...
  2. Erythrocyte

    Ukomavu wa Freeman Mbowe unashangaza! Pamoja na kushambuliwa na wengi lakini hajawahi kulipa kisasi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana! Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na...
  3. Yoda

    Propaganda za uhasama wa Mbowe na Lissu ni za kijuha sana

    Nimeona maandiko mengi huku mitandaoni yakijaribu kuonyesha kuna uadui au kambi mbili kubwa zinazokinzana kati ya Mbowe na Lissu. Hizi propaganda zimefika mbali kiasi kwamba sasa hata chaguzi za ndani za CHADEMA zinahusishwa katika kihoja hiki cha propagandai! Kila mara ninapokutana na nyuzi...
  4. Allen Kilewella

    Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  5. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  6. Erythrocyte

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi. Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John...
  7. M

    Mbowe na Lissu wanawachanganya wafuasi wao!

    Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars. Kwa mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars! Huku ni kukingamana kwa...
Back
Top Bottom