mbowe na samia

  1. K

    Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

    Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
  2. The Legacy

    Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

    Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza. Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki...
Back
Top Bottom