Jana nilikuwepo Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuendelea kufuatilia kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Leo sikuweza kwenda kwakuwa ninatarajia kusafiri hivi punde. Nimemsikia na kumuona Luteni Denis Urio akitoa ushahidi wake. Nimemsikiliza kwa makini na kwa...
Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake Jan 27, 2022...
Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo.
Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu
" Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia...
Historia ya kesi ya Mbowe na Wenzake
Freeman Akamatwa Mwanza 21Julai 2021
Mnamo tarehe 21 Julai mwaka 2021, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilimtia nguvuni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia, alipokuwa ameenda kwenye ziara za shughuli za chama chao...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
=======
Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
jamhuri
kesi
kesi ya mbowe
kesi ya ugaidi
mahakama
mahakama kuu
maswali
matatu
mbowembowenawenzake
muhimu
sana
tarehe
ugaidi
ulinzi
ushahidi
watatu
wenzake
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila...
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua.
Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gape ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii...
Leo tarehe 1/12/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe na wenzake inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya Jumanne, tarehe 30 Novemba, 2021.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021...
Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021
=======
Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua.
Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine.
Wakili wa...
Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakani ambapo upande wa washtakiwa wanatoa ushahidi, abdalah Mohamed Ling'wenya anaendelea leo.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26...
Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.
Leo Jamhuri inaendelea na shahidi yule yule Jumanne Malangahe.
Kuwa nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.