ENGUA style ya Mbowe ni ya kikatili mno haina maelezo, wajumbe wanaenguliwa bila sababu maalum, Tulizoea kusikia watu kuenguliwa kwa makosa kwenye ya kuandika barua ila hii ni next level, unapigwa benchi bila sababu
Wanachama wengi wanao support Team Lissu wamepigwa marufuku kuhudhuria...