mbu

The Mbu puffer, giant puffer or giant freshwater puffer (Tetraodon mbu) is a carnivorous freshwater pufferfish originating from the middle and lower sections of the Congo river in Africa, as well as the east coast of Lake Tanganyika near the Malagarasi River mouth.
The species is commonly referred to as the giant freshwater pufferfish due to its massive size, growing to a length of 67 cm (26 inches). As such, these fish are difficult to adequately house in home aquaria since they require a very large tank and appropriately scaled water filtration.
Like all of its relatives, the Mbu puffer is capable of inflating itself with water or air when stressed or otherwise frightened. It feeds on smaller fish, mollusks and crustaceans and snails. Species kept in captivity require a varied diet consisting of shelled foods to help ensure good health and to prevent tooth overgrowth.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Naomba kufahamu bei ya taa hizi

    Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
  2. Mbu asiyekufa kwa Dawa zilizopo Afrika agundulika Kenya

    Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
  3. Mbu wa Malaria kutoka Asia ahamia Afrika

    Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mijini. Barani Afrika, ambapo vifo vingi vya Malaria duniani hutokea, ugonjwa huu huenezwa zaidi na mbu maalumu kwa maeneo ya vijijini. Lakini aina ya mbu wa...
  4. Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  5. L

    "Bustani isiyo na mbu" yafunguliwa Chengdu, China

    “Bustani isiyo na mbu”, ambayo ni ya kwanza mjini Chengdu ilifunguliwa. Bustani hiyo inatumia mitego ya mbu, kuanzia usimamizi wa maji na mimea, ili kuangamiza mbu kwenye nyasi na madimbwi.
  6. INAUZWA Unahitaji net kwaajili ya kujikinga mbu? Pitia uzi huu...

    1. Two Stands rail net Hii ni net👆 nzuri sana na classic sana, Kimuonekano ni kama inavyoonekana hapo juu, Zipo katika rangi 4 (Pink, Purple, Cream & White) 2. Two stand adjustable net Kimuonekana imefanana na ya reli lakini ni tofauti, hii vyuma vyake unafanya kuvivuta au kuvisukuma...
  7. Kirusi kipya kinachosambazwa na mbu kinaweza kusababisha kiharusi na kifo

    Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi ========= US health officials brace for...
  8. M

    Ni zipi njia za kudumu za kuondokana na tatizo la mbu?

    Wasalaam, Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar. Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu...
  9. Lindi: Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili, amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu kwa tuhuma za Wizi

    Kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili manispaa ya Lindi amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu baada ya kupigwa na mtu aliyemtuhumu kuiba betri ya gari leo Disemba 28, 2021. Imeelezwa kuwa, Mtuhumiwa huyo ambaye ni kondakta, alipewa gari hiyo kwenda...
  10. Wazee wetu walipambana na mbu namna gani?

    Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
  11. Mbinu za kukabiliana na mbu

    Habari zenu wadau, Leo tupeane mbinu mbalimbali unazotumia kukabiliana na mdudu msumbufu mbu. Wengi wetu hutumia chandarua lakini zinaleta bad looking ya chumba chako. Pia si muda wote utakua kitandani ndio ujikinge na mbu. Ukitumia spray nayo maharufu makali, ukifunga dirisha especially hizi...
  12. Mbunge alipwe mshahara na Wananchi wa Jimbo lake

    Kumezuka mjadala kuhusu mishahara ya Wabunge na Posho zake, ambapo wabunge wanalalamika kuwa wanalipwa pesa kidogo na huku wananchi wakilalamika kuwa kodi zao zinachezewa bure ili kuwalipa wabunge mishahara mikubwa na posho zisizokuwa na kichwa wala mkia. Sasa ili kukata mzizi wa fitina, ni...
  13. B

    Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…